Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Na huyu naemsema ni mkurya wa mjini, amesoma ni MD kabisa ila ni mbabe, Malaya sana anapiga mke wake hadi hurunama.
 
Ndiyo.

Imeandikwa mwanamke atawaacha baba yake na mama yake ataambatana na mumewe,

Nao hao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja.

Wawili maana yake Mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na sio vinginevyo.
Sasa ukristo umeingia nchini umekuta wakurya wanao wanawake wengi tu tena hakuna kikomo cha kuoa kwenye kwa wa kurya" kinacho mfanya mwanaume Kuto kuoa wanawake wengi ni nguvu ya uchumi ikiwa mbaya wanaoa wake wawili hiyo ni kima cha chini, kwaiyo tabia ya kuoa wanawake wengi ni maisha ya kijadi sisi wa Africa ni jamii ya kijadi, Nchi za Afrika kwenye mambo ya ndoa mambo mengi tunafana.
 
Nakubaliana na ww
I wish nipate mkurya!
Nilidate na 1 Kwa muda mrefu kidogo!
Wana roho ya kusaidia pia,kupambana Kwa ajili ya familia nk
 
Hizo hapo juu uko sawa
Nilikuwa na mkurya msabato,aliyekulia mjini Kwa sehemu kubwa!
Kiukweli basi tu ni vile hatukufanikiwa kufika mwisho (kuoana) but namkubali sn
 
Uko sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…