Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kuna maeneo walimu wameamua kukimbia mazima baada tu ya uchaguzi maana wananchi hawataki kuwaona kwa jinsi walivosimamia uchaguzi. Mungu awatie nguvu warudi vituoni kwao
Respect kwa wapumbavu my foot walimu ni wapumbavu we huoni walikuwa wanachapwa fimbo? Narudia Tena walimu ni wapumbavu.ushaona manesi au madaktari wakichapwa fimbo?Mkuu hata hii comment umeweza kuiandika coz ulifundishwa na hao hao Walimu unaowatukana hapa,try to show some respect for them Mkuu.
Kwanini unalaumu ulipoangukiaTumedharauliwA mnoo hawamu hii... Haijawahi tokea..
Huwa wanasahu wakishapata madaraka,ni Hadi akitoka ndipo atakumbuka.We uoni wanakumbuka umuhimu wa katiba mpya baada ya mfumo kuwatupa.Inaeleweka na kukubalika kuwa Ualimu kweli ni laana na walimu wote mmelaaniwa kuyakubali yote mnayotendewa maana na yeye ni mwalimu mwenzenu anayewatendea yote hayo.
Why US!?Kwa comments hizi nimeishia kucheka tu!
Uzalendo pia ni kufanya kazi bila malipo kwa maendeleo ya wote!
Walimu si mzoee shida tu kama wengine walivyozoea?
Ualimu ni kada ya watu wenye ufaulu duni wa mitihani, hicho mnacholipwa kinawatoshaMishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual incliment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?
Hivi ualimu ni laana.. !??
Tumepata kiongozi wa hovyo haijapata kutokea.Mishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual incliment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?
Hivi ualimu ni laana.. !??
Pole Mwalimu!Why US!?
Kumbuka sisi ndio tunatumika kufanya kazi zote maalumu za kitaifa...
Sensa..
Daftari la kura...
Uchaguzi..
Tena kwa malipo madogo mnoo...
Why the hell are treated like this!?? Like hogs..
Why!?
Ulitaka nililete wapi!? Huenda Rais hajui.. He has to know...mkuu kua na subra, hela italipwa, TANZANIA ya Raisi wetu mpendwa jpm kila mtu atapata haki yake, nakuomba uvute subra, pia hapa sisehemu salama kuleta jambo kama hili hapo maana kazi hiyo ni siri kua mzalendo
Naomba niwe mkweli walimu wa nchi hii ni wapumbavu kwanza ndio waliosimamia uchaguzi na wao ndio waliofanya mafekeche mpaka Tundu Lissu akadhulumiwa ushindi wake Sasa msitusumbue shindeni mechi zenu wenyewe wajinga nyie.
Pili hiyo mnayoita kazi maalum nadhani ndio marking Kuna walimu wenzenu wanalalamika mnaitwa nyie kila mwaka yani mtu ikifika desemba anaanza kupiga bajeti ya hela ya marking maana anajua piga ua ataitwa walimu ambao hawaitwi marking wanajisikia vibaya Sana mashuleni wanaona hawathaminiwi na wakuu wa shule wanatumia hiyo Kama fimbo.