Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?