Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Leo umekunwa ?Kwani mimi nimefura wapi?
Umeuliza swali,nimetoa suggestion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo umekunwa ?Kwani mimi nimefura wapi?
Umeuliza swali,nimetoa suggestion
Nimekupata mtibeli. Ila itakuwa kivumbi na jasho utamaduni huu kupigwa stopNi sababu za kitumwa, kijima na ubinafsi.
Mahari ni Pesa ya kumnunua Mwanamke ili ummiliki Kwa jina la MKE.
Ni mfume dume hasi(katili) ambao umefanywa Kwa lengo la kumkandamiza Mwanamke.
Mwanamke yeyote mwenye Akili timamu, huru, hawezi kukubali kutolewa Mahari.
Na Mwanaume yeyote huru, timamu, hawezi kumnunua Mwanamke anayempenda ili awe Mkewe.
Watibeli hatufanyi hivyo na kamwe hatutakuja kufanya hayo.
Binti zetu hawatolewi Mahari wala Vijana wetu hawatoi Mahari.
Nimekupata mtibeli. Ila itakuwa kivumbi na jasho utamaduni huu kupigwa stop
Vijana wenyewe wana badirika ila hawataki iwe kwa mwanamke. Mwanaume akiwa na michepuko sawa haina shida ila mwanaume moto unawakaSio vijana wa kibongo ambao wanategemea mwanamke wa mwaka 47 afanane na wa 2000. Wakati wenyewe wakiendelea kubadilika jinsi dunia inavyo badilika
Unasema tu hata wewe hiyo 50/50 hutaiweza. Mwanamke akijikomboa kiuchumi basi hiyo 50/50 ni rahisi sana kwake.mi naona mahari ifutwe ili twende sawa na ile 50/50
Kabisa ukafurahi ?Kama kawaida
Wataelewa tu taratibu ingawa madhara ni makubwa ni mwendo wa kugawana majengo ya serikali. Mmoja mochwari mwingine jelaVijana wenyewe wana badirika ila hawataki iwe kwa mwanamke. Mwanaume akiwa na michepuko sawa haina shida ila mwanaume moto unawaka
Ila ni ngumu kwenye jamii zetu kuoana for free wajomba na mashangazi hawawezi elewa hiyo kitu lazima pachimbike mtibeliUpigwe stop mara ngapi?
Sheria za nchi hazina kitu kinaitwa Mahari.
Lakini haikatazi Watu kufanya hizo Mila zao ikiwa wanaona haziwadhuru.
Zamu ya kutawadha watoto haaaah lazima kiwake 50/50 ni ngumu kuwezekanaUnasema tu hata wewe hiyo 50/50 hutaiweza. Mwanamke akijikomboa kiuchumi basi hiyo 50/50 ni rahisi sana kwake.
Na wanawake wengi wamejikomboa na wengine wana mawazo ya kujikomboa ni suala la muda tu.
Sasa wewe upangiwe zamu ya kuosha vyombo kelele utakazopiga nchi jirani watasikia
Ila ni ngumu kwenye jamii zetu kuoana for free wajomba na mashangazi hawawezi elewa hiyo kitu lazima pachimbike mtibeli
mamako aliolewa kwanjia Gani ndugu mtibeliNi sababu za kitumwa, kijima na ubinafsi.
Mahari ni Pesa ya kumnunua Mwanamke ili ummiliki Kwa jina la MKE.
Ni mfume dume hasi(katili) ambao umefanywa Kwa lengo la kumkandamiza Mwanamke.
Mwanamke yeyote mwenye Akili timamu, huru, hawezi kukubali kutolewa Mahari.
Na Mwanaume yeyote huru, timamu, hawezi kumnunua Mwanamke anayempenda ili awe Mkewe.
Watibeli hatufanyi hivyo na kamwe hatutakuja kufanya hayo.
Binti zetu hawatolewi Mahari wala Vijana wetu hawatoi Mahari.
mamako aliolewa kwanjia Gani ndugu mtibeli
50/50 wanaume wengi hawawezi.Zamu ya kutawadha watoto haaaah lazima kiwake 50/50 ni ngumu kuwezekana
50/50 wanaume wengi hawawezi.
Kinachowapa nguvu ni kuwa na pesa, ukiondoa pesa hakuna wanaloweza
Ndio maana vifo vya kwenye ndoa vimeongezekaWataelewa tu taratibu ingawa madhara ni makubwa ni mwendo wa kugawana majengo ya serikali. Mmoja mochwari mwingine jela
Nimesema wengi so upo kwenye wachache. Pia nazungumzia ile 50/50 wanayoiongelea. Wengi hawawezi maana itampa mwanamke uwezo wa kujiamulia chochote kitu ambacho hawatakubali.Mbona Mimi sina Pesa na ninanguvu?
Na kataa ndoa imeshamiriNdio maana vifo vya kwenye ndoa vimeongezeka