dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
HV wee ulivyo oa hujatoa mahari ,mahari ni heshima bhnaNi sababu za kitumwa, kijima na ubinafsi.
Mahari ni Pesa ya kumnunua Mwanamke ili ummiliki Kwa jina la MKE.
Ni mfume dume hasi(katili) ambao umefanywa Kwa lengo la kumkandamiza Mwanamke.
Mwanamke yeyote mwenye Akili timamu, huru, hawezi kukubali kutolewa Mahari.
Na Mwanaume yeyote huru, timamu, hawezi kumnunua Mwanamke anayempenda ili awe Mkewe.
Watibeli hatufanyi hivyo na kamwe hatutakuja kufanya hayo.
Binti zetu hawatolewi Mahari wala Vijana wetu hawatoi Mahari.