Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Daaah! Kwa hiyo kibano kimegeuka.Utaratibu ulianzishwa na mwanaume.
Na nia ni kummiliki mwanamke awe chini yake, na wengine kumfanya mtumwa kabisa.
Sasa hivi pesa imekuwa ngumu, na wanawake wenyewe wamekuwa pasua kichwa wameanza kugoma kutoa mahari.
Duuuh! Kumbe mahari ni biashara ya ngono iliyo rasimishwa ?!.jiulize kwanza kwanini wanawake wanajiuza wanaume wawalipe kufanya nao ngono but wanaume hawajiuzi?Au kwanini male pornstars hawalipwi vizuri kama wanawake?Bible imesema tamaa ya mwanaume ipo kwa mwanamke.,wabahili na wasio nazo tunajifanya wenyewe..
Kibao kimegeuka maana wanawake wengi hawafati vile wanavyotaka. Hawakubaliani na mila gandamizi.Daaah! Kwa hiyo kibano kimegeuka.
Mamiloo mbona kama umefuraa.Kama hako kautaratibu haukubaliani nako achana nako
Kwanini upangiwe maisha?weka utaratibu wako ambao unaona ni sawa...easy
Sasa nifure kwa lipi?Mamiloo mbona kama umefuraa.
Ni maswali tu kama unaweza jibu basi jibu kama yako tight kwako unaweza temana nayo
Ukichanganya kijana kajichanga na tupesa twake twa masikitiko akitegemea manzi iwe kama mazaa ake halafu anakuta tofauti lazima apagawe na tuela twake tumuumeKibao kimegeuka maana wanawake wengi hawafati vile wanavyotaka. Hawakubaliani na mila gandamizi.
Wamebaki tu kusema kwamba wanawake wa sasa hawafai kuoa afadhali kipindi cha bibi zetu.
Ila wewe mdada.Utaratibu ulianzishwa na mwanaume.
Na nia ni kummiliki mwanamke awe chini yake, na wengine kumfanya mtumwa kabisa.
Sasa hivi pesa imekuwa ngumu, na wanawake wenyewe wamekuwa pasua kichwa wameanza kugoma kutoa mahari.
Ni kweli, halafu hapati kile ambacho alitarajia kupata.Ukichanganya kijana kajichanga na tupesa twake twa masikitiko akitegemea manzi iwe kama mazaa ake halafu anakuta tofauti lazima apagawe na tuela twake tumuume
Nimefura wapi bibie wakati nimeuliza tu maswali ?Sasa nifure kwa lipi?
Wewe unaetoa ndio umefura
AbeeeIla wewe mdada.
Inabidi vijana wapunguze expectationsNi kweli, halafu hapati kile ambacho alitarajia kupata.
Mnataka jino kwa jinomi naona mahari ifutwe ili twende sawa na ile 50/50
Kwani mimi nimefura wapi?Nimefura wapi bibie wakati nimeuliza tu maswali ?
Sio vijana wa kibongo ambao wanategemea mwanamke wa mwaka 47 afanane na wa 2000. Wakati wenyewe wakiendelea kubadilika jinsi dunia inavyo badilikaInabidi vijana wapunguze expectations