dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
HV wee ulivyo oa hujatoa mahari ,mahari ni heshima bhnaNi sababu za kitumwa, kijima na ubinafsi.
Mahari ni Pesa ya kumnunua Mwanamke ili ummiliki Kwa jina la MKE.
Ni mfume dume hasi(katili) ambao umefanywa Kwa lengo la kumkandamiza Mwanamke.
Mwanamke yeyote mwenye Akili timamu, huru, hawezi kukubali kutolewa Mahari.
Na Mwanaume yeyote huru, timamu, hawezi kumnunua Mwanamke anayempenda ili awe Mkewe.
Watibeli hatufanyi hivyo na kamwe hatutakuja kufanya hayo.
Binti zetu hawatolewi Mahari wala Vijana wetu hawatoi Mahari.
HV wee ulivyo oa hujatoa mahari ,mahari ni heshima bhna
ndio mkuu mtu anaona kazi kuosha vyombo kwa sababu anajua kazi ya mahari aliyolipia kuoa mwanamke,iwapo 50/50 itakuwepo itakuwa njema zaidi kwasababu mwanamke na mwanaume watakuwa huru zaidi mfano hakuta kuwa na kuoa wala kuolewa hivyo mtu ataamue azae tu.kuhusu kufua,kuosha vyombo na kupika hivyo ni vitu vya kawaida tu,jalibu kuchunguza katika hotel nying za nyota tano wapishi na wahudumu wengi ni wanaume kama kupika kuosha vyombo ni kazi kwa mwanaume, isingekuwa dhana labda yakuoa ili kupata watoto wengi wasingeoa. kwa sababu utelezi usio na masharti upo tena wakutosha.Unasema tu hata wewe hiyo 50/50 hutaiweza. Mwanamke akijikomboa kiuchumi basi hiyo 50/50 ni rahisi sana kwake.
Na wanawake wengi wamejikomboa na wengine wana mawazo ya kujikomboa ni suala la muda tu.
Sasa wewe upangiwe zamu ya kuosha vyombo kelele utakazopiga nchi jirani watasikia
Nimesema wengi so upo kwenye wachache. Pia nazungumzia ile 50/50 wanayoiongelea. Wengi hawawezi maana itampa mwanamke uwezo wa kujiamulia chochote kitu ambacho hawatakubali.
Hakuna heshima yoyote kama aliyekutolea mahari hakuheshimu.HV wee ulivyo oa hujatoa mahari ,mahari ni heshima bhna
Umechelewa kujua!!Duuuh! Kumbe mahari ni biashara ya ngono iliyo rasimishwa ?!.
Duuu! Moto unawaka nakubali mtibeliWanawachimba ninyi mnaoendekeza ujingaujinga na mawazo yasiyo na kichwa na miguu. Sijui laana, sijui baraka, sijui radhi, blah! Blah! Blah! Tuu.
Waambie huwaoi wao, kama mtoto wao anataka kutolewa Mahari na wewe hautaki muache, kwani ni lazima umuoe yeye au aolewe na wewe..
Pamoja sana mtibeliHakutolewa Mahari
Na hata angetolewa mahari(angenunuliwa) isingenipa uhalali wa Mimi kununua mtu.
🙂 huyo nkaburu atakuwa shoga,au mwanga maana sikwa dislike hizonkaburu vipi unatafuta basha
Nakubali mamiloo50/50 wanaume wengi hawawezi.
Kinachowapa nguvu ni kuwa na pesa, ukiondoa pesa hakuna wanaloweza
Nahisi nidem mwenye upwiru^_^ huyo nkaburu atakuwa shoga,au mwanga maana sikwa dislike hizo
Wahindi mwaume ndie anaye lipiwa mahari tuachane na hilo la wahindi.Utaratibu ambao vijana wa sasa mnatakiwa muufute ni wa michango ya harusi.
Mahari ni kama token ya appreciation kwa wazazi kwa kumtunza na kumkuza binti yao halafu huwa hata haimalizwi kama huna unatoa kiasi tu.
Mahari sioni shida yake sababu utazaliwa watoto, watabeba jina lako, watatunzwa, mke atakuhudumia n.k. na pia ni kama inarasimisha nafasi ya mwanaume katika familia sababu anayeolewa ndo analipiwa mahari.
SifahamuHV wazungu Wana tolewa mahari
Vijana wameona suhurisho ni kukataa ndoa tuNa kataa ndoa imeshamiri
Sio mbaya pia😀Vijana wameona suhurisho ni kukataa ndoa tu
Attention seeker huyo temana nayeAtakae dislike hii post ni bwabwa.. mngeserema labisaView attachment 2757933
Ni utaratibu pia, Je mtoto anabeba jina la ukoo wa mwanamke au mwanaume kwa wahindi?Wahindi mwaume ndie anaye lipiwa mahari tuachane na hilo la wahindi.
Katunzwa ila nafasi yake katika jamii inamweka hapo kuwa alipe mahari, atoe ulinzi, malazi, afya na chakula kisha yeye azaliwe watoto, wabebe jina lake, mke amtunze na kulea watoto wake.Kwani mtoto wa kiume hajatunzwa na wazazi wake ?