Mwanamke ni kiumbe MWENYE choyo sana haswa kwa Wanawake wenzie, Labda umkute mwenye hofu ya Mungu na mwenye adabu.. ila watoto wa kiume mala nyingi tunawapisha.. mi nina hasira nao sana haswa nikikuta under 25 alafu mjamzito, Labda ampishe mwingine siwezi fanya kumpishaHii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli lolMjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze[emoji3061][emoji3061]
Comment toka kwa mwanamke, nadhani hii ishajibu swali la muanzisha uzi.Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze🥴🥴
Sawa mwanamke.Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze[emoji3061][emoji3061]
Comment toka kwa mwanamke, nadhani hii ishajibu swali la muanzisha uzi.
Hili jibu linawakilisha kwa asilimia kubwa fikra za jinsia ya kike kimtamzamo.