Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
 
Mwanamke ni kiumbe MWENYE choyo sana haswa kwa Wanawake wenzie, Labda umkute mwenye hofu ya Mungu na mwenye adabu.. ila watoto wa kiume mala nyingi tunawapisha.. mi nina hasira nao sana haswa nikikuta under 25 alafu mjamzito, Labda ampishe mwingine siwezi fanya kumpisha
 
ndo walivyo..adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ata akiwa anashuka kituo cha mbele tu hapishi mtu..
 
Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze🥴🥴
 
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze[emoji3061][emoji3061]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli lol
 
Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze🥴🥴
Comment toka kwa mwanamke, nadhani hii ishajibu swali la muanzisha uzi.
Hili jibu linawakilisha kwa asilimia kubwa fikra za jinsia ya kike kimtamzamo.
 
Wanawake asilimia kubwa ,sio kwenye dala dala tu, hata maofisini, yaani akikaa kwenye kile kiti kinachozunguka anajikuta anafanya kazi world bank, nyodo za kutosha mara unasikia "kaka samahani hebu sogea nyuma kidogo" mara anachati, anapokea simu, kumbuka huo mada wote unaongea na mtu ambae hakusikilizi, halafu kanarudi " enhee ulikuwa unasema?"

Wanaudhi sana.
 
Sipishi mtu aiseee maana wakati anapanda aliona kabisa gari limejaa
 
Hayo mambo ya kupishana siti bado yapo???
Usafiri wote huu uliojaa na bara bara za kupendeza bado unasimama kwenye bus.
 
Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama??
Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako ukiwa mgonjwa.
Slogan ya dar uzee mwisho chalinze[emoji3061][emoji3061]
Sawa mwanamke.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa nawapisha kiroho safi tu hasa wale wanaopandia njiani...!
 
Mwanzo nilikuwa napisha kwa moyo wote, pale nilipopata ujauzito watu wakawa wananichunia NDIPO niliapa nikipita kipindi cha mpito sitapisha mtu.

Sasa hivi sipishi na mwanangu nilikuwa nimemfundisha kupisha wakubwa saizi nimemwambia awe anakaa wakimlazimisha asimame aseme anaumwa.

Ukiwa mzee au mjamzito hupishwi na watoto wa shule Wala watu wazima. Tunabadilikia hapa wanawake wengi.

Hivyo naamini hao wanawake mnaowasema huenda walikutana na kadhia kama yangu wakiwa wanauhitaji wa kupishwa, wameamua nao wasiwe wanapisha.

Ila dar Ina tabia za ajabu sana, zinashangaza hadi inabidi tuige ili twende sawa.
 
Back
Top Bottom