ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo