Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

We ulitaka uwe unawaona wapi pengin??
Vyuo ni vingi na kila chuo kina utaratibu wake wa wanafunzi bora kwa vitivo vilivyopo, au wewe ushawahi kufanya research wale best students huwa hakuna waliowahi kua TO's.

Sio rahisi kuwajua huko vyuoni labda kama hujafika chuo ndgu yangu.
 
Ndugu, nipo chuoni ninaongea hivi kwa kuona hali halisiii
 
Hao unao sema kuwa ni ma lectures wengi wao ni wale wanaofanya vizuri vyuoni ambao hata ukifuatilia nyuma hawakuwahi kuwa katika orodha ya wanafunzi bora. Ninazungumzia hawa TO katika elimu ya kidato cha nne na cha sita. Asante kwa jawabu pia.

Wapo wameajiriwa na multinationals big 4 auditing firms.

Ukitaka kuwaona tembelea ofisi za pwc, kpmg, delloitte, ernst & young,
 
Wapo wameajiriwa na multinationals big 4 auditing firms.

Ukitaka kuwaona tembelea ofisi za pwc, kpmg, delloitte, ernst & young,
Exactly hapa umenifungua mkuu, nilikuwa sifahamu hii chief!
 
Hao unao sema kuwa ni ma lectures wengi wao ni wale wanaofanya vizuri vyuoni ambao hata ukifuatilia nyuma hawakuwahi kuwa katika orodha ya wanafunzi bora. Ninazungumzia hawa TO katika elimu ya kidato cha nne na cha sita. Asante kwa jawabu pia.
Asante studio 😂😂
 
Wengi wasio na connection wako kitaa na wengi wenye connection wako majuu
 
Ndugu, nipo chuoni ninaongea hivi kwa kuona hali halisiii
Kumbe upo chuo kabisa, chuo kina course nyingi kujua hao watu wapo course gani si rahisi labda awe mtu wako wa karibu au ni unamfatilia kwa karibu kujua maendeleo yake.

Wangekua wana vyuo vyao labda ila kama ni hii tunachanganyana wote kumjua TO si rahisi.

Waliokua wanakua karibu nao washakwambia wapo kwenye vitengo gani saivi
 
Broo wangu alikuwa TO kwasasa yupo sehemu nzuri sana .wengi wametoboa na wajua wamefanikiwa
 
Hao unao sema kuwa ni ma lectures wengi wao ni wale wanaofanya vizuri vyuoni ambao hata ukifuatilia nyuma hawakuwahi kuwa katika orodha ya wanafunzi bora. Ninazungumzia hawa TO katika elimu ya kidato cha nne na cha sita. Asante kwa jawabu pia.
Orodhesha majina yao kama unawafahamu halafu tafuta kwenye google utawakuta. Sio kila kitu ni matangazo.
Au ulitaka wawe wanazunguka mjini na loudspeaker? Kabla hawajapata hiyo sifa ya Tanzania One uliwafahamu? Kama hukuwafahamu kabla basi elewa tu wako kwenye hayo maisha yao ambayo tangu kabla hukuyafahamu.
Taaluma ni uwanja mwingine, hautegemei nguvu ya umma, kura wala media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…