Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

Dah we jamaaπŸ˜πŸ˜‚
Unajua humu JamiiForums wengi wanaonekana ni wageni, lakini ukweli uliowazi ni kwamba WANAFUNZI BORA huwa wanafahamiana, yaani ni kama WATU WENYE PESA.

WATU WENYE PESA huwa wanafahamiana vilevile, haiwezekani MTU akatoka "FROM NOWHERE" aonekane ana PESA, lazima MAMLAKA husika zitahoji uhalali wa PESA zake na hii huwa inafanyika kila NCHI, sio TANZANIA pekee yake.

Kwahiyo WANAFUNZI BORA huwa wanafahamiana vilevile, yaani ukiwa MWANAFUNZI BORA unakuwa kama "ICON" na kufanyika kuwa mfano kwa wengine.
 
No doubt
 
Kwani kabla hawajawa Tanzania one ulikuwa unawafahamu?..umewafahamu kwa matokeo ya form six,baada ya apo hutoendelea kuwafahamu kama ambavyo hukuwafahamu kabla..hiyo ni kawaida[emoji144]
 
T O wa form 4 2007 si ni Japhet John na nakumbuka alisoma Telecommunications engineering pale udsm.huyo wa udom ni yupi?
 
T O wa form 4 2007 si ni Japhet John na nakumbuka alisoma Telecommunications engineering pale udsm.huyo wa udom ni yupi?
Weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE - 2007, ndio utamuona mwanafunzi bora.

Huyo JAPHET JOHN hayupo hata MIA BORA. Yaani ni kama ELIAS KIHOMBO au MARTIN CHEGERE.

Hawa wote ukiwa mitaani wanaitwa ni TO, lakini ukiangalia ORODHA YA WANAFUNZI BORA kwa miaka husika. Hawapo wote..πŸ˜‚
 
T O wa form 4 2007 si ni Japhet John na nakumbuka alisoma Telecommunications engineering pale udsm.huyo wa udom ni yupi?
Achilia mbali hiyo ORODHA YA WANAFUNZI BORA!! Muulize huyo JAPHET JOHN kama alipewa ACADEMIC CERTIFICATE OF EXCELLENCE kutoka BARAZA LA MITIHANI [NECTA]?

TO WA KIDATO CHA NNE - 2007 alisoma METALLURGY AND MINERAL PROCESSING ENGINEERING pale UDOM. Sasa hivi anazunguka kwenye kampuni za madini za ndani na nje ya nchi na alifanikiwa kuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI YA COHSS kwa mwaka 2012/13.

Yaani TANZANIA imepitia MAMBO YA AJABU sana, ilifikia hatua hadi MISS TANZANIA wa mwaka fulani [...] kwenye wasifu wake alitangazwa kuwa alikuwa MWANAFUNZI WA TANO [5] katika ORODHA YA WANAFUNZI BORA KITAIFA.

Lakini ilikuwa ni UONGO! Sasa hivi huyo MISS TANZANIA ni mama wa nyumbani na alifanikiwa kuolewa na aliyekuwa MBUNGE WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
 
TO inaishia ngazi ya sekondari, chuo mpambano unaanza upya na huku hakuna TO kuna GPA.......aliyetoka na divison three secondary anaweza kutoka na GPA ya 4.8 chuo wakati TO akitoka na GPA ya 3.0, kwa hiyo usiwachukulue kwa umaalumu saaana.
 
Kwahiyo unataka kusema Elias Kihombo hakuwa TO? Umemaliza form six mwaka gani?
 
The problem with Africa is those with ideas have no power and those with power have no ideas
 
Kwahiyo unataka kusema Elias Kihombo hakuwa TO?
ELIAS KIHOMBO hakuwahi kuwa TO! TO wa mwaka 2006 yupo na anafahamika na kama kuna ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006 weka tuone!
Umemaliza form six mwaka gani?
Nimemaliza KIDATO CHA SITA mwaka 2010 na ELIAS KIHOMBO alikuwa ni mwalimu wangu wa masomo ya TUITION.
 
Basi kama umemaliza 2010 kuna uwezekano mkubwa hujui kilichotokea 2006. Bora ukakaa tu kimya. Kihombo alikuwa TO 2006. Kama hutaki basi endelea kuamini huyo unayedhani.
 
Basi kama umemaliza 2010 kuna uwezekano mkubwa hujui kilichotokea 2006.
Ebu weka orodha ya wanafunzi bora wa KIDATO CHA NNE waliofanya vizuri kitaifa kwa mwaka 2007, ndio utajua ninachokueleza ni nini?
Bora ukakaa tu kimya. Kihombo alikuwa TO 2006. Kama hutaki basi endelea kuamini huyo unayedhani.
Mimi tena nisifahamu kilichotokea kwa mwaka 2006? Hebu weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006.
 
Ebu weka orodha ya wanafunzi bora wa KIDATO CHA NNE waliofanya vizuri kitaifa kwa mwaka 2007, ndio utajua ninachokueleza ni nini?

Mimi tena nisifahamu kilichotokea kwa mwaka 2006? Hebu weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006.
Duuh umezaliwa mwaka gani
 
Duuh umezaliwa mwaka gani


​
Hayo mambo ya mwaka wa kuzaliwa sasa hivi inabidi uachane nayo kwanza, maana nimepata taarifa kule PEMBA pamechafuka rangi ya ZAMBARAU tupu. Yaani kule WAPINZANI hawana amani kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…