Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
 
Mbona wewe unaishi Kigera-etuma na hatukuhoji?Waache wafe na mafuriko tule ubwabwa.
 
Umetaja kwa ujumla tuu kuna maeneo mazuri ya kuishi na yenye hadhi huko kote ulikotaja
 
Kama bado upo Tz ndio yale yale tu .Unawezaje kuishi Tz miaka yote mafoleni kila Kona usumbufu kila mahali ?
 
KIjana huna nidhamu, huna nidhamu hata kidogooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…