Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Karibu sana Tandale kwa Tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezaliwa Ocean Road 1978Tembea kijana bado hujalijua vizuri hili jiji
Hilo halikufanyi ukalijua jiji Mkuu,Tembea mkuuNimezaliwa Ocean Road 1978
MZani wa magari ukiwa ubungo,stendi ya mkoa ikiwa kisutu na mnazi mmoja
Unapajua avalon,empire,empress,new chox,cameo,starlight,drivein
Huko ndio tukienda kucheki movies na mzee wangu hayati ????
Ushamba tu unakusumbua,.......ninyi ndio mumetoka mikoani mumejaa ushamba,munajifanya huu mji munaujua sana.Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Mzawa hana kitu sasa kwa nini asipondwe?kujisifia ujinga tu..Ushamba tu unakusumbua,.......ninyi ndio mumetoka mikoani mumejaa ushamba,munajifanya huu mji munaujua sana.
Unadhani kipindi Mjerumani na muingereza anakata viwanja Magomeni na Temeke,.....Boko,Bunju,Salasala kulikua na mapori tu huko na haikuruhusiwa kujenga kiholela.
Umetoka zako ndichi mpitimbi huko unakuja kumponda mzawa wa Magomeni,una akili wewe?
Bila hayo maeneo hakuna Dar.Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Basi DAR HAUIJUI vizuri na kama sio hivo utakua mgeni wa jiji, kuna watu maeneo hayo wanamaisha mazuri kuliko wengi wa mbweni, goba , madale, mbezi beach na kadhalika na maeneo hayo hayo kuna sehemu kiwanja Tu bila bilioni moja bado hujakigusa ,Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Huyo kasimuliwa tu.Umetaja kwa ujumla tuu kuna maeneo mazuri ya kuishi na yenye hadhi huko kote ulikotaja
Tandale. Bado kuna Keko, Mtoni, Vingunguti, Mchikichini.Kule kwa mfuga paka ndio wapi kule?
Sielewi kwanini umepaniki mkuu.Ushamba tu unakusumbua,.......ninyi ndio mumetoka mikoani mumejaa ushamba,munajifanya huu mji munaujua sana.
Unadhani kipindi Mjerumani na muingereza anakata viwanja Magomeni na Temeke,.....Boko,Bunju,Salasala kulikua na mapori tu huko na haikuruhusiwa kujenga kiholela.
Umetoka zako ndichi mpitimbi huko unakuja kumponda mzawa wa Magomeni,una akili wewe?
kweli wewe bado ni mshamba unaejifanya Bitozi. Kwa hiyo, akili yako yote wewe ulikuwa unajua DAR ni Mbinguni ?Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
wewe utakuwa Mshamba wa Mkoani tu, ulifikiri ukija DAR utaona DAR inafanana na Mbingu.Hayo maeneo ni takataka sio mahali sahihi kwa binadamu kuishi