Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Wewe unaishi wapi?.Tukuchambue
 
Bila shaka nafsi yako imefarijika baada ya kunitukana. Haya utulie sasa.
We ni kubwa jinga nikionaga mtu yeyote anakimbilia umri mtandaoni najua tu huyo kakua mwili akili hana ndio kama wewe jiulize Kuna matajiri wangapi umewapita umri je wakikuambia huna akili kwakua umekosa pesa Kwa umri huo itakua sahihi jibu utalipata kama wewe ni kubwa jinga huna akili
 
Back
Top Bottom