Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Nimezaliwa Ocean Road 1978
MZani wa magari ukiwa ubungo,stendi ya mkoa ikiwa kisutu na mnazi mmoja
Unapajua avalon,empire,empress,new chox,cameo,starlight,drivein
Huko ndio tukienda kucheki movies na mzee wangu hayati ????
Jinsi unavyokua umri zaidi, na Jiji nalo linakua kimakazi zaidi, DSM ya miaka ya 70 siyo DSM ya miaka ya 2000!!
 
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
We mshamba tu, temeke ni sehemu mojawapo yenye mipangilio ya makazi
 
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Vingunguti mbona umeisahau mkuu?
 
We lazima utakuwa mshamba
 
Magomeni kuko sehemu nzuri na sehemu mbaya
Kinondoni iko sehemu nzuri na sehemu mbaya
Ilala,buguruni hivyo hivyo
Lqbda wee mleta mada umeenda kwenye squatter area
Kivule yenyewe kuna mitaa tulivu nyumba ziko kimpangilio
Kikuvya napo hivyo hivyo nk

Ova
 
Mji usiopimwa viwanja unategemea nini! Sasa hivi mwendo ni kutembea tu, tupo vizuri kubomoa barabara kuliko kukarabati zilizoharibika.
 
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Nimewahi kuishi Manzese Tip Top, pale opposite na S/M Ukombozi kwa muda wa miaka 13; mwaka 1990-2003.
Maisha ya uswahilini raha tupu!
 
Ukiwa unatoka Dodoma au Morogoro - kwa Treni ya SGR, baada ya kituo cha Pugu kuja Magufuli Terminal, mandhari nzuri ulokuwa unaona kabla ya Pugu, inapotea unakutana na mandhari fikirishi sanaaa
Yaani uko na treni SGR kunatoka Pugu kuja Magufuri Terminal.
Aiseee kweli bhangi ni bangue . Halqfu unamcheka mtu yuko Mwanayamala kwa Kopa!!!
 
Maeneo yote uliyotaja kwakweli siwezi ishi bila kufika uswahilini kula kula maake, nimepiga mishe flani manzese na tandale nikiwa naishi sinza by then so ilikuwa unyama sana

Uswahilini ni raha
 
Back
Top Bottom