Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Tena ndio ukute mwingine anazama ndani kabsa akiibuka juu anatema maji na kusukutua kabsa.. Aiiii[emoji847]
hiyo ndo raha ya sisi wazee wa kujimp , Yaani unachumpa unazama unafika kabisa mwisho wa swimming pool unaibuka mbele kama 🐬 Alafu unatema maji kishujaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœŠ hiyo moment huwa tamu sana
 
Amini nachokwambia hii kazi hufanywa tukiwa hatupo vile vibomba kwa muda huo haviingizi maji wala kutoa, niliipata hii elimu kwa jamaa anayehudumia lile la hyat regency
 
Risk zipo ila sio kubwa ki vile,yale maji yanakuja na dawa,jua kuwa,pale munapokuwa munaoga yale maji si kwamba yanabakia kuwa yale yale,yanakuja na kuondoka,ndo maana kuna sehemu utakuwa onaona kama yana chemkia hivi,ni pressure ya yale yanayoingia yale ya zamani yanakuwa yanatoka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana so wanapaka rangi ya blue kuondoa true color, nadhani wangepaka rangi nyeupe maji yangekua na rangi ya manjano

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bahati mbaya zaidi, baada ya kufyatua kitu kika nyenyuka juu na kikabaki kinaelea kama boya...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sa mkuu unaamua kujisaidia na hali toilet zipo kabisa,kuna watu wanaweza kukuona ,kuna materials katika kuta za pool zinayafanya yale maji yawe kama kioo,hivyo chochote unachofanya jirani yako anaweza kuona na hali still upo kwenye maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama aliingia akatoka na mimba kumbe kijana wake (mtoto wa kumzaa) aliingia kabla akaacha shahawa. Kwa hiyo mama alizaa mtoto na mtoto wake.
Peleka story za kipumbavu kama hiz kwa watoto wenzako hukoo ambao hta basic undesrtanding kuhus mambo haya hawana
 
Wanapenga makamasi tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanakojoa
Wanajamba
Hata walio period wanaswim esp baharini
Watu wanasugua CD mule ( couples + beach boys
....ila siachi 🏊
Kwa baharini hakuna tatizo, bahari haitunzi uchafu.
Ukichafua inajisafisha yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…