Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
hiyo ndo raha ya sisi wazee wa kujimp , Yaani unachumpa unazama unafika kabisa mwisho wa swimming pool unaibuka mbele kama 🐬 Alafu unatema maji kishujaaa 😂😂😂✊ hiyo moment huwa tamu sanaTena ndio ukute mwingine anazama ndani kabsa akiibuka juu anatema maji na kusukutua kabsa.. Aiiii[emoji847]