Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

Mdogo wangu Englishlady,

Nadhani usingeweka mkazo kwenye ngono, ungepewa ushauri kibao tena mzuri zaidi.....

Kuhusu kutopenda kufanya ngono, kunaweza kuwa na sababu nyingi ingawa kuna maswali kibao pia.

Binafsi nimestushwa na suala la kukuficha details zake.....Nadhani hapo ndipo kwenye tatizo kubwa zaidi.

Inawezekana ni mume wa mtu au yuko kwenye mazingira/kazi ya hatari sana ambayo asingependa ujue. Jitahidi kulifanyia kazi hili jambo na ukiona bado kiza, unaweza kuanza mbele. Kubwa zaidi ni kubwa unayo bahati ya mtende kwa kuwa hujavuliwa kufuli...unaondoka ukingali mzima (???)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nakuelewa, kama anao alinitongozea nini? Ashindwe na alegee.

Kama watu wenye ngoma wangekuwa hawatongozi au kutongozwa basi huenda leo hii tungekuwa twaishi dunia salama...

Thinkkkk!!!

But nimeongea mengi hapo juu, sio dushe tu ni pamoja na mazingira ya kutokufahamishwa kwao na kazini kwake, hapa napo wasiwasi mkubwa upo.

Kwani makubaliano ya hatma ya uhusiano wenu ni yapi?

Ndoa au Urafiki tu?

Kama ni ndoa basi anza kusisitiza wataka kupata taarifa ya haya unayoyalalamikia hapa...
 
Nahisi ulimuuliza mwanzo km anataka kukuoa Au kukuchezea, htk kukuchezea hadi akuoe, ulikosea mwenyewe. Kwanza nyie huwa mkiachwa mnalalamika sn mlichezewaaaa
 

Nilithishe mikoba hiyo mie
 
ninyi nyote wawili inaonekana ni mabikra!!

mna kama kauoga flani hivi ka kuachiana mashine zenu!!!

eti Englishlady, wewe ni sealed? jamaa anaishia tu kukunyonya nyonya maziwa wee bila kupasua nazi??

mtazaaje sasa kama mnafichia mashine zenu?? eenh?
 
Last edited by a moderator:
Nilipoteza network ghafla, nikajua utanitafuta but kimyaaa


hahaha jamani kugegda kutamu nyie lol.....mie mzima alafu wewe nae ukasepa bila ata kuaga bwana
 
... anyonywe kwanza maziwa kama nusu saa hivi yalainike bana!!!

badae ndo unagege huku ukiwa hujitambui vile!!!... as if uko ICU! kumbe uko juu ya papuchi!!!
Hahaha...naona unagegeda apaapa...duh umeamka upande upi leo
Te
 
Hahaha...naona unagegeda apaapa...duh umeamka upande upi leo
Te
brenda18, unajua kugegeda kuna raha zake ukipata wagegedaji wazuri experienced kama Excel..!

sasa wengine wanifanya hiyo ishu kama wako somalia vile!!! khaa!!

yani unamrukia tu mwenzio ka bomu lililorushwa kwa mkono!! puuuh!!

jiandae kwanza, hata kama hakupendi..., utasikia tu anakutaja kimya kimya... excel! excel!! exceeeeeelll!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi nijuavyo mimi, mapenzi mazuri yenye mwelekeo wa maisha ya kudumu SII KUFANYA NGONO, LA HASHA. Mda uliotaja ni mfupi sana kuanza hilo zoezi kwa mstaarabu anaewaza future, Sikatai kwamba anaweza kuwa na mambo mengine, ila ninachosema ni kwamba wewe unaharakisha sana na huenda ulishajijengea mawazo kwamba mwanamme ni lazima nilale nae siku za uchumba wangu. Mimi sio mkubwa sana na sijaoa siku nyingi, wakati nachumbia ilinichukua zaidi ya mwaka hadi kumjua mke wangu. Kwa hiyo wewe mchunguze mwenzio tabia zake na sio lazima mvuliane nguo, hili liwe zoezi la mwisho na mpimane kwanza. Asante.
 

Watun wanaweza tu kukubeza kwa kuwa umeweka msisitizo kwenye suala na ngono lakini naweza tu kusema kuwa hao wamekubeza kwasababu huenda hawajui na kama wanajua umuhimu wangono kwenye mahusiano basi wanaweza kuwa ni wanafiki


Hakuna asiyejua kuwa bila ngono hakuna ndoa mahali popote pale na hata kanisani ndoa hiyo inavunjwa,kwa maisha ya leo kuoana na mtu ambae huna uhakika na uwezo wake katika ngono ni kujidanganya tu,karibu kila mtu na kama sio wote wameshafanya ngono kabla ya ndoa hivyo kujidanganya kuwa asiyetaka ngono kabla ya ndoa ni mwema ni kosa kubwa sana

Kila anaeolewa au kuoa huolewa na kama mtu wa 5 hadi 8 kuanzia siku alipoanza kufanya ngono hivyo anakuwa ameshapata uzoefu wa aina tofauti tofauti na mahusiano,ni jambo la hatari sana ktu huyu aje kuingia ndoani na mtu ambae atakuja kushtukia ndoani kuwa huyu hana uwezo wa kutosha kumtosheleza,hapo ndipo umuhimu wa kulijua hilo kabla ya kuoana linapokuja

Kiukweli dada yangu hapo kuna kila sababu ya kutilia mashaka hayo mahusiano yenu,nadhani wewe sio bikra hivyo hivyo na yeye sidhani kama hajawahi kufanya,na kama hajawahi kufanya ni vyema ukamhoji ni kwanini hajafanya hivyo na ni muhimu ukajiridhisha na maelezo yake na ukahakikisha kama yoko sawa

Hawa wanaokubeza kuwa umeweka ngono mbele achana nao kabisa kwani hawakutakii mema kabisa na isitoshe hata wao kama wanajua umuhimu wa tendo hilo kwenye ndoa wasingekuambia hivyo na kama wanajua hawakutakii mema kabisa

Chunguza kama ni mzima na ujue kinachomfanya anakuwa hivyo
Ukipata majibu ndio utulie ...!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…