Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Mdogo wangu Englishlady,
Nadhani usingeweka mkazo kwenye ngono, ungepewa ushauri kibao tena mzuri zaidi.....
Kuhusu kutopenda kufanya ngono, kunaweza kuwa na sababu nyingi ingawa kuna maswali kibao pia.
Binafsi nimestushwa na suala la kukuficha details zake.....Nadhani hapo ndipo kwenye tatizo kubwa zaidi.
Inawezekana ni mume wa mtu au yuko kwenye mazingira/kazi ya hatari sana ambayo asingependa ujue. Jitahidi kulifanyia kazi hili jambo na ukiona bado kiza, unaweza kuanza mbele. Kubwa zaidi ni kubwa unayo bahati ya mtende kwa kuwa hujavuliwa kufuli...unaondoka ukingali mzima (???)!!
Babu DC!!

Last edited by a moderator: