Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

We binti wewe utakuja kulia kilio cha punda shauri yako...

Mwanaume akikutafuna wewe haina maana hana vidumu huko nje...

Kwanza mnavyonyonyana hizo ndimi, mmepima Gonjwa la Kisasa kujua usalama wenu?



Unaweza ukawa unalilia dushelele kumbe mwenzako ana ngoma na roho yake inamsuta anaogopa kukuunganisha kwenye Gridi ya Taifa...

Thinkkkk....



Nakuelewa, kama anao alinitongozea nini? Ashindwe na alegee.


But nimeongea mengi hapo juu, sio dushe tu ni pamoja na mazingira ya kutokufahamishwa kwao na kazini kwake, hapa napo wasiwasi mkubwa upo.
 
1. Uhusiano wenu una malengo yoyote, mnaongelea future?
2. Mmewahi kupima HIV hata mara moja?
3. Wakati wa kufanya romance, je unaushika mninga wake?....anadisa vizuri?
4. Kwa nini msikae kama wapenzi na kuongelea swala la kudinyana, kwanini msiwe wazi?

No.3 nahis Jamaa ni fake
 
But nimeongea mengi hapo juu, sio dushe tu ni pamoja na mazingira ya kutokufahamishwa kwao na kazini kwake, hapa napo wasiwasi mkubwa upo.
miss Englishlady, unahisi atakufahamisha kwao wakati anapoishi umepaona twice? Kweli?
Unadhani atakupeleka kwao wakati the only thing he tells you is "wewe ni wife material"? hamuongei kuhusu nyie na future yenu afu mtu akupeleke kwao...

Mimi nadhani usiwe na papara, msome mpenzi wako umfaham vizuri, aweza kuwa ''yahaya'' ama aweza kuwa hakuchukulii kivileee..
 
Last edited by a moderator:
miss Englishlady, unahisi atakufahamisha kwao wakati anapoishi umepaona twice? Kweli?
Unadhani atakupeleka kwao wakati the only thing he tells you is "wewe ni wife material"? hamuongei kuhusu nyie na future yenu afu mtu akupeleke kwao...

Mimi nadhani usiwe na papara, msome mpenzi wako umfaham vizuri, aweza kuwa ''yahaya'' ama aweza kuwa hakuchukulii kivileee..


Tahnks Elly kwa ushauri, nadhani sitakiwa na muda tena wa kuendelea kumfahamu. Kwa mazingira haya nahisi hanichukulii kivileee, teh teh teh, ngoja nilianzishe muda unayoyoma,.
 
Last edited by a moderator:
Duh, siku moja nendeni nje ya mji, say Tanga or Bagamoyo... mkirudi kama kaka na dada, just dump him
 
Mimi kwa kuhisi kwangu labda alijaribu kukutongoza tu ila hakuwa tayari kuingia ktk uhusiano na wewe, cha muhimu mwambie akuweke wazi usipoteze muda kwa mtu asokuwa na future yoyote.
 
hamna kitu hapo...jogoo haliwiki...
 
Yeah ni kweli, kuna muda fulani nilikuwa kijijini, network sometime inazingua nashindwa kuipata MMU,
Enhee, embu niambie Karucee[/UziB], ungekuwa ni wewe ungemuelewaje?, unataka jamaa akule mzigo halafu dizaini kama anazingua.

Queen of seduction would make him want me na asingeponyoka. Then namzomea.
 
Heri ya mwaka mpya farkhina haya unayosema ni ya kweli manake kama amekua na mashaka na upendo wa huyo ndugu si bora hajamfunua inampa nafac ya kusepa bila doa.

Umeona eeeh bi shosti...hujambo lakin?
 
Last edited by a moderator:
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka huyu hajawahinigusa kwa mapenzi zaidi ya kushikana na kubusiana tu au wakati mwingine kumaliza ashiki kwa romance. Kila nikijitahidi kuweka mazingira ya kudo anachomoa, atatoa maelezo mengiii. Sio mtu wa dini maana hata kwenda kanisani ni maramojamoja, ni mnywaji na ni mkaka wa mjini. Sielewi hivi wapo wanaume wa jinsi hiyo miaka hii? Au naibiwa mie, yupo anayemmalizia ashiki zake.Nyongeza sikujui kazini kwake wala kwao kwa ndugu zake najua tu ni mtaa fulani hajawahi nipeleka na hutoa sababu nyingi nikitaka kwenda kwao. Kwake nimewahi enda mara mbili tu kwa miezi yote hii. Kila nikifanya jitihada za kuachana nae anasumbua, anatumia marafiki zangu ama ndugu zake kudai ananipenda, kila nikipima upendo wake siuoni. Naona kama napoteza muda tu, naomba ushauri wenu.

Umepima?
 
Vp kwny romance ukimcheki mnara unasoma network full au utata.?
 
Nyie mmeangalia moja tu la uznifu, lakini kuna sori ndefu za kutofahamu kwao na kazini kwake, kwenu sio ishu, ni kugegedwa tu.

man-thinking.jpg
 
Acha kabisa alafu ukute ziwa nene kimtindo na limesimama ni zaidi ya sherehe...

wallahi atanyonya mpaka asahau papuuu... chi!!!

ebana mi napenda kuyanyonya,,.. tena kisaikolojia zaidi!!

sio unanyonyanyonya tu ka unakunywa maji ya asidi!!
 
Off topic.msaidie mwenzio anataka agegedwe

... anyonywe kwanza maziwa kama nusu saa hivi yalainike bana!!!

badae ndo unagege huku ukiwa hujitambui vile!!!... as if uko ICU! kumbe uko juu ya papuchi!!!
 
Back
Top Bottom