acha kabisa chief....tunapata tabu sana wanaume, ila tunajua kuvumilia tu.Asee, leo ndio nimeelewa kumbe huko pm kuna majanga ya kiwango cha drimulaina.
acha tu shogangu ila bwanake hakomi kila siku kunimwagia malike bibie roho juu juu kuna utoto mwingi sana humu,laiti wangejua mmu,cc binafsi ni porojo changamsha genge tu haswa nkiwa na misitilesi yangu najiachia mpaka basiPamoja kabisa...nilijua yananitokeaga Mimi tu....[emoji5][emoji5]
Hajar atafaa kuwa Katibu na Mzigua90 awe mw/kiti msaidizi, mjumbe mwingine Asprin maana anaonekana mzoefu hasaKama ulikuwepo kwa Akili yangu..wafaa kuwa Mwenyekiti..
Teua Katibu tuanze vikao
Hapana nakutakia mema, ila sipendi saaana kukasema kaharage ka mbeya mani ni mboga ya chapuchapu hiyo, kuna nyakati yafaa sana kuliko nyama ya bata mzinga.halafu weweee hunitakii mema nakwambia
wewe si tabia yako mbaya unanipita kila sikuhahaha hatuonani kwa nini
kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi
kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi
Asprin aje na mkewe...Hajar atafaa kuwa Katibu na Mzigua90 awe mw/kiti msaidizi, mjumbe mwingine Asprin maana anaonekana mzoefu hasa
ha ha ha miller nkikupa password utapasuka kwa vichekohahaha [emoji23][emoji23] acha kutuaibisha ss amu...[emoji20][emoji20][emoji125][emoji125]
mkewe yupi ss maana huyo babu nae sio wa mchezo mchezoAsprin aje na mkewe...
Daby njoo utupe wasifu wa mchuchu...tuanze kuchuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana nakutakia mema, ila sipendi saaana kukasema kaharage ka mbeya mani ni mboga ya chapuchapu hiyo, kuna nyakati yafaa sana kuliko nyama ya bata mzinga.
Yaani, wengine ndio wameweka roho zao huku, na usingizi hawalali....acha tu shogangu ila bwanake hakomi kila siku kunimwagia malike bibie roho juu juu kuna utoto mwingi sana humu,laiti wangejua mmu,cc binafsi ni porojo changamsha genge tu haswa nkiwa na misitilesi yangu najiachia mpaka basi
tumeanza lini kufanyiana hiviwewe si tabia yako mbaya unanipita kila siku
hajar tumuweke kritika kwa dabyHahahaaa. Nshapita mdogo wangu.
Ya kweli hayo anayosema Kaka Masai (Daby)
hata mm nashangaa...nisamehe kama nimewahi kukukwaza tafadhalitumeanza lini kufanyiana hivi
Hata Mimi nashangaa sijui unakuwaga wapi hata nisikuone.Kama wewe...ulikuwa wapi?
Ndio maana nikaogopa kutaja jina...yeyote Asprin atakayependa kumleta...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkewe yupi ss maana huyo babu nae sio wa mchezo mchezo
mmh! yani hamumpendi Daby kiasi hicho au ni vipi![emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]hajar tumuweke kritika kwa daby