Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi
kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi


Wapo wengi sana mbona! sijasema Smart911 bana smart wangu kapuku tu tehtehteh... nacheka kama mazuri vileeee
 
Hapana nakutakia mema, ila sipendi saaana kukasema kaharage ka mbeya mani ni mboga ya chapuchapu hiyo, kuna nyakati yafaa sana kuliko nyama ya bata mzinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha tu shogangu ila bwanake hakomi kila siku kunimwagia malike bibie roho juu juu kuna utoto mwingi sana humu,laiti wangejua mmu,cc binafsi ni porojo changamsha genge tu haswa nkiwa na misitilesi yangu najiachia mpaka basi
Yaani, wengine ndio wameweka roho zao huku, na usingizi hawalali....
 
Back
Top Bottom