Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

huu ushauri nitauzingatia mzee baba... nitaleta mrejesho.
 
Sasa mkuu nitajuaje hapa kabanwa na nyegeree[emoji23]
 
yaani unamchangamkia mtu... tena umevimba kweli... halafu anakujibu hayo mazoea unayotaka kuleta yaishie hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashkuru Mungu, ainawahi kutongoza wala kuonana na mwanamke yeyote wa Jf..... tehteehhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hongera yako.

Ila sema nn, kuna watu nawasoma hapa kimya kimya ,wanafiki haoo.

Wanajiona watakatifu haooo kumbe watongozaji mahili sana .

Nawao ,et wanauliza " ivi mnatumia dawa gani?" hahaha aisee.
 
Hongera yako.

Ila sema nn, kuna watu nawasoma hapa kimya kimya ,wanafiki haoo.

Wanajiona watakatifu haooo kumbe watongozaji mahili sana .

Nawao ,et wanauliza " ivi mnatumia dawa gani?" hahaha aisee.
Hahaahaaahaaaaa......[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama huyu mleta huu Uzi, ngoja nimuhidhi jina kwa leo.... tehteehhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaahaaahaaaaa......[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama huyu mleta huu Uzi, ngoja nimuhidhi jina kwa leo.... tehteehhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha alafu mtu anasema " mnatumia dawa gan?" .

Hahaha acha kabisaa ... Mavazi tunayovaa masafi ,ila miili yetu sasa michafu .

Unajua mbuzi dawa yake ni kumpa sukar ,hawezi kupiga kelele hata siku moja.
 
Ohhhppppssssss... [emoji52] [emoji52]
Kumbe hii mutu inamiliki totoz lukuki humu eehhhh.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Daby ebu uje huku maramoja... tehteehhh
 
Ohhhppppssssss... [emoji52] [emoji52]
Kumbe hii mutu inamiliki totoz lukuki humu eehhhh.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Daby ebu uje huku maramoja... tehteehhh
Kuna mmoja anajiona mtakatifu, huwez amin kila mwanamke anayeniandikia uzi humu, huyo jamaa humfata ,sasa sijui kujaribu kumpima sijui ndo anaona wepesi?? ..bahat nzuri wananipaga access ya account zao , naishia kucheka tu.

Najisemea, sasa huyu majukwaan anajigamba namtu wake, hapohapo ,anakuja kuchomekea mwanamke wa mtu??

Nachekaga sana .

NAISHIA HAPA MKUU ...wacha niwe msomaji wa wanaojiita " watakatifu wasojua kutongoza"[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…