Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #381
huu ushauri nitauzingatia mzee baba... nitaleta mrejesho.Daby
1.Jitahidi uwe na vihela hela kidogo vya kuwahonga.
2.Usimwambie mwanamke ukweli, Kwa sababu wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli. Ukimwambia mwanamke ukweli anakukataa, ila ukisema uongo anakubali.
3.Usimpe mwanamke moyo wako(usimpe upendo wote wa kweli atakufanya zuzu).
4.Tongoza wasichana/wanawake wengi hata 10 au 20, Ili mmoja akitaka kukupanda kichwani, unamshiit na unaenda kwa hao wengine 8 au 19 waliobaki.