Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Nimeenda PM moja ,nikapigwa kibuti ,hahaha ,ila sasa nimejifunza
 
Hivi per day wewe unaweza pata PM kama ngapi hivi??
Mbili au tatu tena kwa watu ninaochat nao pm mara kwa mara au tunaquotiana humu naelewa akili zao zilivyo. Wengine hata kujibu sijibu napita kama sioni
 
Mbili au tatu tena kwa watu ninaochat nao pm mara kwa mara au tunaquotiana humu naelewa akili zao zilivyo. Wengine hata kujibu sijibu napita kama sioni
Mara moja moja ujibu maana wengine hata wakiquotiwa na mrembo humu,wanapiga screenshot..inakuwa kama vile wamekutana na kim kardashian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…