Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Babu sea hakutafuta golikipa
Mzee kaona mbali
Si mnataka haki sawa?
Tusaidiani majukumu
 
mi ninavyo dhani, kuna baadhi ya wanawake cse anafanya kazi na wewe unafanya anataka majukumu ya nyumbani kusaidiana, mfano atatakaa ufue nguo zako mwenyewe, wengine wanaenda mbali hata kupika hawataki wanaona wamechoka, so kama vip ingia jikoni kumsaidia kama unaona vipi toboka ukanunue hotelin ulete mlee.kitu ambacho sio sawa kabisa, majukumu ya nyumbani asilimia kubwa ni yamama sasa kama yanakushinda unategemea nini
 
Yaani nipewe zamu kufua

halafu nipewe zamu kupika

baadae niwe na zamu ya kuosha vyombo

ikiwezekana niwe na mzigo nipangiwe zamu

hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............
 
Mwanangu unajua unachokifanya nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe,

Yes kama wewe mzazi no 50/50 **** 50/50

Nikimuona mtu anaandika kwa herufi kubwa paragraph kadhaa kwanza huwa sisomi halafu namuona kama hana akili vile
Na pia uwezo wako pia si wakuelewa mambo complecated yenye kuhitaji brain storming ni inaishia hapa tu jukwaa la mapenzi. Watu wenye hakili wana deal na content kwanza mambo ya herufu kubwa au ndogo na typographical errors huwa yanakuja baadae.

Hivyo nakuonya kwa mara ya kwanza na mwisho ukiona thread yangu anza kujibu hiyo hoja na kama hauna kakojoe ukalale.

This case is closed in Lemutz Voice
 
Mwenye akili akiambiwa kitu hukiangalia mara kadhaa na kukitathmini kama amekosea hujirekebisha hata asipotoka na kukiri hadharani

ila mpumbavu (ukiwemo na wewe) hushupaza shingo

sasa naomba nikuache na ujinga wako uendelee nao
 
Mimi siyo mjinga kama wewe...... kwenye salsafa huwa tunajibishana kwa hoja iliyoko mezani....... hoja mama ndo inayokuonesha kama una hakili au la mbona kicha chako kigumu kuelewa? Mambo ya herufi ndogo au kubwa hiyo ni sanaa tu. Ni kama vile umeandika ukaamua ku bold au ku italize andiko lako kimsingi habadili maana ya ulichoandika.

Na hapa sasa napata picha halisi wewe ni mtu wa aina gani na ndiyo maana ukaja na thread kama ile. Kwa ujumla nakupa pole sana sababu character unayo iportray hapa itakupa shida sana kwenye maisha yako. Kwa taarifa yako tu ni kwambie kama ulikuja na thread ile hapa jamii forum ili upozwe machungu ya kutendwa na jamaa yako utazidi kuwa frustrated hapa na zaidi ya yote wanaume wenye akili wote hawaishi na wanawake vigego kama wewe.... hiyo 50/50 wapo wanaoipata lakini waliokuzwa kwenye malezi mema kifamilia na kimungu. Wewe hiyo 50/50 utaitafuta hadi ukikongwe wako na hautaipata ng'oooooooooooo.
 
Kama mke hajasoma sana na mume ana hela za kutosha kuhudumia mke na watoto kwa kila kitu huo mfumo ni mzuri tena sana ila tofauti na hapo ni kutafuta matatizo tu kwenye ndoa
Wewe hiyo unaionaje? Ni nzuri au mbaya?
 
Habari za wanawake kunyanyaswa zimekuja zama hizi. Zimeletwa na wazungu nasi tukkazidakia bila utathmini madhara yake. Aina yamanyanyaso ni kaama mtoto a kike kunyimwa elimu, kumiliki mali, haki ya kutofanya shughuli za nyumbani kwsabbabu mtoto wa kiume hafanyi nk. Hayo ndio manyanyaso, mengine ni uzhshi tu. Mwana,ke kupigwa ni utaduni wa enzi na enzi kwa sababuboss waa familia ni mmoja tu. Mwanamke anatakiwa kutii, sio huo utamaduni wenu wa kimagharibi mliotuletea sasa.
Haujajibu swali nimekuuliza ni wanawake wangapi wanatii na bado wanapigwa na kwahiyo kama mwanaume ni kichwa cha familia ndiyo inamaanisha amuonee mke wake na amfanye vile anavyotaka??

Wewe unajua maandiko hebu niletee andiko kutoka kwenye biblia linalomruhusu mwanaume kumpiga mke wake pale anapokosea kwa sababu andiko la kumpiga mtoto anapokosea lipo nalijua ila hilo la kumpiga mke naomba uniletee wewe!!
 
Asante sana kaka yangu afadhali wewe umeongea ukweli maana wengine naona hawaeleweki wanataka kuongea nini mtu haeleweki kama yeye anafuata maandiko au tamaduni maana maandiko na tamaduni yanatofautiana kwa kiasi chake
MMMH MAMBO HAYA NI MAGUMU SANA DADA YANGU....

KWA KWELI DUNIA YA LEO LINAPOKUJA SWALA NA USAWA KATI YA MKE NA MUME NI MJADALA MPANA SANA NA WAKATI MWINGINE UNAKOSA MUAFAKA KUTOKANA NA MAKUNDI AMBAYO NI WAHUSIKA KATIKA HILI.

KWA UFUPI TU MAKUNDI KAMA YA IMANI ZA DINI, WANAHARAKATI WA MASUALA YA JENDA NA MAKUNDI YASIYOSOMA NA YALIYOSOMO WANATOFAUTIANA SANA KIMITIZAMO NA KUNA NAMNA TOFAUTI TOFAUTI ZA UFANYAJI WA MAKOSA UYASEMAYO NA HATA KAMA YAKIFANYIKA UTATUZI WAKE PIA HUTOFAUTIANA.

MFANO KATIKA UKRISTO KUNA BAADHI YA MAKOSA HAYARUHUSIWI KUFANYWA KABISA..... MAKOSA KAMA UZIZI, ULEVI NA UGOMVI HAYARUHUSIWI KABISA. NA MSISITIZO NI MUME KUMPENDA MKE NA MKE KUMTII MUME. MTU AKIMPENDA MKEWE KATIKA MAPANA YAKE NA KWA MAANA YAKE HATAWEZA KUZINI, KULEWA, KUMPIGA NA KUTOMSHIRIKISHA KWENYE JAMBO LOLOTE LILE. VILE VILE NA MKE AKIMTII MUME HATAWEZEKANA KUDAI KIITWACHO HAMSINI KWA HAMSINI KATIKA NYUMBA WALA KUINUA MDOMO MREFU KAMA SAMAKI CHUCHUNGE NA KUMSONYA MUMEWE HATA KAMA KAMKOSEA. MAMBO YAO HUMALIZWA KATINA NAMNA YA KIMUNGU KWA HOFU NA UTII.

NA UKIKUTANA NA KUNDI LISILOMJUA MUNGU NALO LINA NAMNA YAKE WANAVYOCHUKULIANA KATIKA NDOA NA MAHUSIANO HALIKADHARIKA MIFUMA YA KISOMI HUSUSANI YA KIMAGHARIBI AMBOA WANA HADI NDOA ZA MIKATABA AMBAPO MKATABA UNAWEZA SEMA SIKU UKINIKUTA NA MCHEPUKO WANGU USINIGUSE WALA KUNINYOOSHEA KIDOLE. KTK ULIMWENGU WA UISLAM MWANAMKE HAWEZI KULALAMIKA KUHUSU KUTOFANYA KAZI NA KUKAA NDANI TU NA WALA KUTOENDESHA MAGARI (KAMA VILE SAUDIA....JAPO SASA HIVU KUNA MSUKUMO USIO NA NGUVU WA KUTAKA KUWAPA WANAWAKE FURSA MAGARI YA KUENDESHA NA KUSHIRIKI MCHAKATO WA UCHAGUZI ILI WAPIGIWE KURA) KAMA ILIVYO KWA WANAUME. IMANI NA MAFUNDISHO YAKE YANASEMA HIVYO NA HALIWEZI KUHOJIWA. UCHAGANI MTOTO WA KIKE HAKUWA NA NAFASI TANGU DAHARI KURITHISHWA KIHAMBA KAMA WARITHISHWAVYO WANAUME.

HIVYO BASI USAWA HUO UUZUNGUMZIAO UNATEGEMEANA SANA NA MAKUNDI NA SALSAFA HUSIKA ZA MAKUNDI HAYO KUHUSIANA NA SUALA LA NDOA. USIPOYAELEWA HAYA MAMBO NA KUKUELEKEZA KUWA UNAINGIA KWENYE NDOA AU MAHUSIANO NA KUNDI LIPI UTAYUMBA SANA KTK MAHUSIANO YAKO.
 
Soma ujumbe wake!!
Mwanangu unajua unachokifanya nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe,

Yes kama wewe mzazi no 50/50 **** 50/50

Nikimuona mtu anaandika kwa herufi kubwa paragraph kadhaa kwanza huwa sisomi halafu namuona kama hana akili vile
 
Mimi ninahisi uwezo aliopewa mwanamke Ni mkubwa Sana kulinganisha na mwanaume. Mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kuuhifadhi uhai wa binadamu kwa miezi 9 na pia kuutunza kwa miaka mingi zaidi. Mwanamke ni safe keeper wa jamii, mwanamke Ni chombo Cha manung'uniko ya dunia hii kwa nafasi Kama mke na Kama mama. Pepo ya dunia hii ipo kwenye miguu ya mwanamke

Huwa nasikitika nikiona mwanamke akijaribu kuwa Kama mwanaume ili ajihisi superior. MWANAMKE YOYOTE ANAYETAFUTA USAWA NA MWANAUME HUPOTEZA NGUVU YAKE KAMA MWANAMKE.
Mkuu kuwa realistic sawa anauwezo mkubwa sana na mm nakubali kama kubeba kiumbe mieezi tisa....... lakini jiulize hicho kiumbe anachobeba kajipa mwenyewe? Mind you Kuna aliesababisha kiingie na kukaa tumboni mwake.

Kikubwa nadhani tunapaswa kuelewa/kuelewani kuna suala muhimu sana la haki na wajibu kwa mke na mume. Hivi vitu ni nature ya muumba na hata ukipingana navyo ni kama kushindana na ukuta. Mume ana wajibu kwa mkewe na mke nae vivyohivyo. Sitaki kusema haki ya nani inamzidi yupi hilo linataegemeana na misingi mbalimbali ikiwemo ya imani za dini ambapo jamii husika ipo. Kuna jamii kabisa mke yupo juu ya mume mfano wao ndiyo walipa mahari na wanaolewa na wanaume zaidi ya mmoja. Mwanamke kwa maana rahisi anakuwa na mitala.... yaani anapanga lini nikalale na mume yupi.

Hivyo ndiyo maana tangu awali nilisema haya mambo kuyajadili na kuyapatia jibu la uhakika ni ngumu sana. nilitoa mfano wa ukristo ukifundisha kuwa wajibu wa mume ni kumpenda mkewe na mke ni kumtii....sasa tafuta kwa kina maana ya KUPEND na maana ya KUTII kuna baadhi ya watu wanaweza kuikana imani kabisa. Lakini pia nikasema baadhi ya jamii/makundi Ulaya na America wao wana ndoa za mikataba yenye makubaliano ya lini ndoa itaisha, itaishaje na hata namna ya kuishi ndani ya hiyo ndoa ikiwa ni pamija na mtu kuja na mchepuko wake nyumbani siku akijisikia bila kubughudhiwa na mwezake.

Kwa ujumla haya mabo yanahitaji mtizamo mpana sana ili kujua hiyo 50/50 inaweza apply kwa kundi gani na wakati gani.
 
MMMH MAMBO HAYA NI MAGUMU SANA DADA YANGU....

KWA KWELI DUNIA YA LEO LINAPOKUJA SWALA NA USAWA KATI YA MKE NA MUME NI MJADALA MPANA SANA NA WAKATI MWINGINE UNAKOSA MUAFAKA KUTOKANA NA MAKUNDI AMBAYO NI WAHUSIKA KATIKA HILI.

KWA UFUPI TU MAKUNDI KAMA YA IMANI ZA DINI, WANAHARAKATI WA MASUALA YA JENDA NA MAKUNDI YASIYOSOMA NA YALIYOSOMO WANATOFAUTIANA SANA KIMITIZAMO NA KUNA NAMNA TOFAUTI TOFAUTI ZA UFANYAJI WA MAKOSA UYASEMAYO NA HATA KAMA YAKIFANYIKA UTATUZI WAKE PIA HUTOFAUTIANA.

MFANO KATIKA UKRISTO KUNA BAADHI YA MAKOSA HAYARUHUSIWI KUFANYWA KABISA..... MAKOSA KAMA UZIZI, ULEVI NA UGOMVI HAYARUHUSIWI KABISA. NA MSISITIZO NI MUME KUMPENDA MKE NA MKE KUMTII MUME. MTU AKIMPENDA MKEWE KATIKA MAPANA YAKE NA KWA MAANA YAKE HATAWEZA KUZINI, KULEWA, KUMPIGA NA KUTOMSHIRIKISHA KWENYE JAMBO LOLOTE LILE. VILE VILE NA MKE AKIMTII MUME HATAWEZEKANA KUDAI KIITWACHO HAMSINI KWA HAMSINI KATIKA NYUMBA WALA KUINUA MDOMO MREFU KAMA SAMAKI CHUCHUNGE NA KUMSONYA MUMEWE HATA KAMA KAMKOSEA. MAMBO YAO HUMALIZWA KATINA NAMNA YA KIMUNGU KWA HOFU NA UTII.

NA UKIKUTANA NA KUNDI LISILOMJUA MUNGU NALO LINA NAMNA YAKE WANAVYOCHUKULIANA KATIKA NDOA NA MAHUSIANO HALIKADHARIKA MIFUMA YA KISOMI HUSUSANI YA KIMAGHARIBI AMBOA WANA HADI NDOA ZA MIKATABA AMBAPO MKATABA UNAWEZA SEMA SIKU UKINIKUTA NA MCHEPUKO WANGU USINIGUSE WALA KUNINYOOSHEA KIDOLE. KTK ULIMWENGU WA UISLAM MWANAMKE HAWEZI KULALAMIKA KUHUSU KUTOFANYA KAZI NA KUKAA NDANI TU NA WALA KUTOENDESHA MAGARI (KAMA VILE SAUDIA....JAPO SASA HIVU KUNA MSUKUMO USIO NA NGUVU WA KUTAKA KUWAPA WANAWAKE FURSA MAGARI YA KUENDESHA NA KUSHIRIKI MCHAKATO WA UCHAGUZI ILI WAPIGIWE KURA) KAMA ILIVYO KWA WANAUME. IMANI NA MAFUNDISHO YAKE YANASEMA HIVYO NA HALIWEZI KUHOJIWA. UCHAGANI MTOTO WA KIKE HAKUWA NA NAFASI TANGU DAHARI KURITHISHWA KIHAMBA KAMA WARITHISHWAVYO WANAUME.

HIVYO BASI USAWA HUO UUZUNGUMZIAO UNATEGEMEANA SANA NA MAKUNDI NA SALSAFA HUSIKA ZA MAKUNDI HAYO KUHUSIANA NA SUALA LA NDOA. USIPOYAELEWA HAYA MAMBO NA KUKUELEKEZA KUWA UNAINGIA KWENYE NDOA AU MAHUSIANO NA KUNDI LIPI UTAYUMBA SANA KTK MAHUSIANO YAKO.
Thanks my sister!
 
Sasa kama mkeo anakusaidia ya kwako kwanini na wewe usimsaidie ya kwake?? Ukitaka mwanamke ambaye atafanya majukumu ya nyumbani bila vikwazo vyovyote basi hakikisha umeoa mwanamke ambaye hajasoma ili awe mama wa nyumbani na wewe uwe unamhudumia kwa kila kitu hapo ndiyo itakuwa sawa!!
mi ninavyo dhani, kuna baadhi ya wanawake cse anafanya kazi na wewe unafanya anataka majukumu ya nyumbani kusaidiana, mfano atatakaa ufue nguo zako mwenyewe, wengine wanaenda mbali hata kupika hawataki wanaona wamechoka, so kama vip ingia jikoni kumsaidia kama unaona vipi toboka ukanunue hotelin ulete mlee.kitu ambacho sio sawa kabisa, majukumu ya nyumbani asilimia kubwa ni yamama sasa kama yanakushinda unategemea nini
 
Oa mwanamke ambaye hajasoma ili awe mama wa nyumbani mkuu
Yaani nipewe zamu kufua

halafu nipewe zamu kupika

baadae niwe na zamu ya kuosha vyombo

ikiwezekana niwe na mzigo nipangiwe zamu

hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............
 
Sasa hapo una uhakika gani kwamba wewe ndiyo mwenye akili na yeye ndiye mjinga??
Mwenye akili akiambiwa kitu hukiangalia mara kadhaa na kukitathmini kama amekosea hujirekebisha hata asipotoka na kukiri hadharani

ila mpumbavu (ukiwemo na wewe) hushupaza shingo

sasa naomba nikuache na ujinga wako uendelee nao
 
Mimi siyo mjinga kama wewe...... kwenye salsafa huwa tunajibishana kwa hoja iliyoko mezani....... hoja mama ndo inayokuonesha kama una hakili au la mbona kicha chako kigumu kuelewa? Mambo ya herufi ndogo au kubwa hiyo ni sanaa tu. Ni kama vile umeandika ukaamua ku bold au ku italize andiko lako kimsingi habadili maana ya ulichoandika.

Na hapa sasa napata picha halisi wewe ni mtu wa aina gani na ndiyo maana ukaja na thread kama ile. Kwa ujumla nakupa pole sana sababu character unayo iportray hapa itakupa shida sana kwenye maisha yako. Kwa taarifa yako tu ni kwambie kama ulikuja na thread ile hapa jamii forum ili upozwe machungu ya kutendwa na jamaa yako utazidi kuwa frustrated hapa na zaidi ya yote wanaume wenye akili wote hawaishi na wanawake vigego kama wewe.... hiyo 50/50 wapo wanaoipata lakini waliokuzwa kwenye malezi mema kifamilia na kimungu. Wewe hiyo 50/50 utaitafuta hadi ukikongwe wako na hautaipata ng'oooooooooooo.
Mkuu huyo ni mwanaume
 
Mkuu kuwa realistic sawa anauwezo mkubwa sana na mm nakubali kama kubeba kiumbe mieezi tisa....... lakini jiulize hicho kiumbe anachobeba kajipa mwenyewe? Mind you Kuna aliesababisha kiingie na kukaa tumboni mwake.

Kikubwa nadhani tunapaswa kuelewa/kuelewani kuna suala muhimu sana la haki na wajibu kwa mke na mume. Hivi vitu ni nature ya muumba na hata ukipingana navyo ni kama kushindana na ukuta. Mume ana wajibu kwa mkewe na mke nae vivyohivyo. Sitaki kusema haki ya nani inamzidi yupi hilo linataegemeana na misingi mbalimbali ikiwemo ya imani za dini ambapo jamii husika ipo. Kuna jamii kabisa mke yupo juu ya mume mfano wao ndiyo walipa mahari na wanaolewa na wanaume zaidi ya mmoja. Mwanamke kwa maana rahisi anakuwa na mitala.... yaani anapanga lini nikalale na mume yupi.

Hivyo ndiyo maana tangu awali nilisema haya mambo kuyajadili na kuyapatia jibu la uhakika ni ngumu sana. nilitoa mfano wa ukristo ukifundisha kuwa wajibu wa mume ni kumpenda mkewe na mke ni kumtii....sasa tafuta kwa kina maana ya KUPEND na maana ya KUTII kuna baadhi ya watu wanaweza kuikana imani kabisa. Lakini pia nikasema baadhi ya jamii/makundi Ulaya na America wao wana ndoa za mikataba yenye makubaliano ya lini ndoa itaisha, itaishaje na hata namna ya kuishi ndani ya hiyo ndoa ikiwa ni pamija na mtu kuja na mchepuko wake nyumbani siku akijisikia bila kubughudhiwa na mwezake.

Kwa ujumla haya mabo yanahitaji mtizamo mpana sana ili kujua hiyo 50/50 inaweza apply kwa kundi gani na wakati gani.
Ukweli kabisa
 
Back
Top Bottom