Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Mwanamke kupigwa ni matokeo ya kukosa utii. Kwa sababu ya lugha za maudhi na vitendo vya kujarbu kudhalilisha uanaume wake, lazima atakasirika kupitiliza na matokeo yake ni kipondo.

Mwanamke anayejitambua ni nadra sana kupigwa,ila wale wasioheshimu nafasi zao. Tena nikueleze kama hujui, kaka za mwanamke pale wanapoona dada yao anamsumbua shemeji naye ameshinfwa kumchapa huomba waruhusiwe kumwadibisha ili asiwatie aibu kwa jamii. Basi wao huchukua jukumu la kumkumbusha nafasi yake kwa bakora motomoto.

Habari za maandiko twende kwenye jukwa la dini, hapa umeleta kwa watu wa imani zote.
 
We uko tofauti kidogo na wenzio wengi...hongera
 
Aaa wapi hiyo kauli ya wanawake tukiwezeshwa tunaweza imetokea kuleee kwa majirani zetu wavaa kijani na njano mimi naamini wanawake ni Jeshi kubwa
 
labda ni kuwa mnataka mamlaka juu ya vitu visivyowahusu
 
Lakini na wewe hela zake unatumia??
Yes madam ninampa na hata akiniambia bana sikiliza this time hela yangu nafanyia hiki naomba uniongezee pesa kadhaa kiroho safi anachuku

Anajua exactly role zake na anajua ana deal na mtu mwenye mind set ya kibabu anafuata mule mule
 
Mama narudia tena kazi za ndani sina wajibu nazo na ndo maana siwezi kuhangaika na nyinyi wanaharakati

Ninyi wa haki sawa ni wa kuweka tu na kusepa
Sasa wewe mkeo si anakusaidia majukumu yako mbona hausemi kuwa siyo wajibu wake??
 
Mama narudia tena kazi za ndani sina wajibu nazo na ndo maana siwezi kuhangaika na nyinyi wanaharakati

Ninyi wa haki sawa ni wa kuweka tu na kusepa
Halafu mbona wapo wengi tu hao unaowaita "wa haki sawa" wanaolewa na ndoa zao zinadumu??
 
Ndo maana kuna mtu leo kaanzisha uzi anasema watu wa JF ni tofauti na watu wa huko mtaani[emoji23] e.g hao wanaosema humu sio wife material huku kitaa ndo wanaolewa kila kukicha etc
Halafu mbona wapo wengi tu hao unaowaita "wa haki sawa" wanaolewa na ndoa zao zinadumu??
 
Daah yaani sijui hata niseme nini mkuu ila ubarikiwe sana
 
Na mwanaume akikosea naye anaadhibiwa na nani?? Au mwanaume hakosei kwa sababu tu 'yeye ndie mwenye ndoa"??
 
Umeona eenh?? Huku wanajifanya kukejeli ila kiuhalisia hao wanaowakejeli ndiyo hao hao wanaoolewa kila siku!!
Ndo maana kuna mtu leo kaanzisha uzi anasema watu wa JF ni tofauti na watu wa huko mtaani[emoji23] e.g hao wanaosema humu sio wife material huku kitaa ndo wanaolewa kila kukicha etc
 
Nimekuelewa sana. Wewe ni chombo haswaaa.
 
Vitabu vya Mungu vinakataa mwanamke na mwaume kuwa sawa maana mwanaume ni kichwa cha nyumba kama sio family kama Yesu alivo kichwa kanisa... Mwanamke atakuwa chini ya mwanaume mpaka dunia itapita na hao wanaojihangaisha kupinga maelekezo ya Mungu mwenyewe na kupiga debe haki sawa kwa kila kitu washindwe na wako kinyume na Mungu yaani wanapinga Mungu.. Wanajidanganya.


Uwe sawa na Mwanaume yaani nawe uwe na dudu linalosimama na kuwezesha kutia mimba na kuzalisha au!!??

Uwe sawa na Mwanaume yaani nawe uwe kichwa cha nyumba au familia au!!??
 
Asante mkuu. Nadhani hapa umejibu kila kitu.
Chanzo kikuu cha ndoa nyingi balaa linaanza mwanamke akishazaa tu. Sijui dharau na kiburi vinatokeaga wapi aisee.

Okay wanasemaga jukumu la kulea familia ni la baba. Its okay na ni sawa kabisa. Sasa kama mimi jukumu langu ni kulea familia hasa hasa financialy ni kwa nini mwananke wangu akafanye kazi sasa. Yaani nimlipe house girl wakati mke wangu yupo. No thank you. Kama tumeamua,sote tifanye kazi then vitu vingine lazima uingie gharama tu aisee
 
Mwanamke mwerevu hata kama ana cheo kikubwa kiazi gani lakini anajua majukumu yake ndani ya ndoa ni yapi. Hawezi kuruhusu upuuzi huu unaoutetea. Kuna kazi ambazo baba anaweza kusaidia home kama usafi wa mazingira nje ya nyumba au mifugo. Lakini eti mumeo aingie jikoni kupika au kufua nguo au kudeki. Hapana aisee. Tutawakimbia tu muolewe na hizo degree zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…