Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayemjibu mwenzie kwa maswali na siyo majibu maana kwanza maswali yaliyopo kwenye mada tu hadi sasa haujayajibu unazunguka tu halafu na wewe unaniuliza maswalinakuuliza swali,unaniumiza swali,hivi unajielewa wewe
exactly what they need, they want to be equal to men while receiving special treatment from very same people whom they claim to be equal with.nasikia pia wanataka na 'special treatment.'
Sawa namaanisha kama mwanamke kaolewa na mwanaume ila hampendi huyo mwanaume lakini mwanaume anampenda halafu baadaye mwanamke akaamua kuvunja ndoa na kumuacha huyo mwanaume kwanini muanze kusema kwamba wanawake ni wakatili wakati hata wanaume wapo wanaofanya hivyo?Mapenzi ya kweli hayaishi, mali na material zingine ndio huisha.
Maamuzi ya kumuacha mtu hayaji from nowhere, mtu unaweza ishi nae kila akiamka asubuhi akakuona moyo unajaa majuto kwa miaka 40, mtu wa hivyo naweza sema maisha aliyoyachagua yamemfanya awe katili[emoji3][emoji3].
hata ccm wameweza kumnunua Waitala lakini kamwe hawawezi hata kuwaza kumnunua Lisu. Maana wanajua hawatafanikiwa kabisa.Hahahaha unajibu kirahisi sana unajua ni kwanini shetani alimuita mwanamke ndo ale tunda halafu akamwambia ampe mwanaume? Kwanini asingemuita mwanamume ndo ale kwanza halafu ampe mwanamke? Najua utakuja na jibu lako hilo hilo kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume kitu ambacho siyo jibu la hayo maswali niliyokuuliza anyway ngoja nikuache uamini unachoamini
Sasa mkuu mbona umekazania kwenye ulinzi tu mimi naongelea kutafuta pesa na kuhudumia familia kama mwanamke anakusaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia wewe unashindwa nini kumsaidia kufanya kazi za ndani na kulea familia?Mada yako inaongelea madai ya wanaume kusema kuwa wanawake mnataka usawa wa kijinsia na sio vinginevyo, hivyo basi hata comments zangu tangu awali zimejikita kwenye kiini cha mada yako(usawa) sasa unapouliza kuwa bado tunaongolea usawa.. nnashangaa sana maana hapo sasa tunakuwa tunaenda kwenye mada nyingine ndani ya mada.
Pili, huwezi ukasema mwanamke na mwanaume hawako sawa halafu hapo hapo unataka majukumu ambayo hata kitamaduni ni ya kwako na Mimi niyafanye. Unapoongelea mgawanyo wa majukumu based on gender huwezi ukaniambia Mimi nioshe vyombo na kupika huo sio mgawanyo wa majukumu my dear na ukitaka hivyo basi kubali na wewe niwe nakubebesha majukumu ya ulinzi na kuchimba shimo la choo siku moja moja.
hizo ndoa unazopenda kuzitolea mfano sijui unazioneaga wapi.
umesema wanawake wana akili kuzidi wanaume,nikakuuliza akili gani kwa mfano ,unaniuliza tena maana ya akili? unajielewa kweli weweSasa kati ya mimi na wewe nani anayemjibu mwenzie kwa maswali na siyo majibu maana kwanza maswali yaliyopo kwenye mada tu hadi sasa haujayajibu unazunguka tu halafu na wewe unaniuliza maswali
Mimi ndo nilitakiwa nikuulize kama wewe unajielewa au haujielewi jibu kwanza maswali yale pale juu halafu na wewe ndo uje uniulize ya kwako vinginevyo nimekwambia kabishane na wavulana wenzio hapa nabishana na wanaume tu wanaojua kujibu maswali na kuja na hoja zao
Hata huyu aliyesema hivi ni mwanaume...mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake
then hapo hapo unasema mwanaume na mwanamke wapo sawa, inakuaje mwi ngi ne aingie kwenye ndoa at 40 na mwingine ashindweSiyo useme vyovyote mwanamke anayeona muelekeo wa ndoa hawezi kukuchuna ila mwanamke ambaye haoni mueleko wowote wa kuolewa lazima akuchune sababu kumbuka unapomchezea unampotezea muda wake wa kuolewa
Wakati wewe hauna cha kupoteza maana wewe hata ukifika miaka 40 utaoa tu ila kwake miaka 40 ni ngumu kuolewa sasa kama wewe unampotezea muda wake kwanini na yeye asikupotezee pesa zako?
Jibu swali langu la kwenye mada kwanza kama hauwezi basi ngoja nikupuuze maana naona hauna la maana unalotaka kusema unabwabwaja tu hapaumesema wanawake wana akili kuzidi wanaume,nikakuuliza akili gani kwa mfano ,unaniuliza tena maana ya akili? unajielewa kweli wewe
umesema wanawake wana akili kuzidi wanaume,nikakuuliza akili gani kwa mfano ,unaniuliza tena maana ya akili? unajielewa kweli wewe
lakini kuna ukweli ndani yakeHata huyu aliyesema hivi ni mwanaume...
Ndio maana nasema watu me/ke huchagua maisha ambayo mwisho wa siku yanawafanya wafanye maamuzi ya kikatili, kwa lengo la kujikomboa kutoka kwenye hayo maisha.Sawa namaanisha kama mwanamke kaolewa na mwanaume ila hampendi huyo mwanaume lakini mwanaume anampenda halafu baadaye mwanamke akaamua kuvunja ndoa na kumuacha huyo mwanaume kwanini muanze kusema kwamba wanawake ni wakatili wakati hata wanaume wapo wanaofanya hivyo?
Wapi nimesema wanaume na wanawake wapo sawa kwenye kila kitu? Inukuu hiyo sehemu unionyeshe halafu kuhusu umri wa kuoa au kuolewa hiyo ni mitazamo ya kijamii tu ila kiuhalisia mwanaume anaweza kuoa na mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wowote ule ambao unamruhusu yeye kufanya tendo la ndoathen hapo hapo unasema mwanaume na mwanamke wapo sawa, inakuaje mwi ngi ne aingie kwenye ndoa at 40 na mwingine ashindwe
Sasa mkuu mbona umekazania kwenye ulinzi tu mimi naongelea kutafuta pesa na kuhudumia familia kama mwanamke anakusaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia wewe unashindwa nini kumsaidia kufanya kazi za ndani na kulea familia?
Mwanamke ambaye hakusaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia basi hata wewe hautakiwi kumsaidia kufanya kazi za ndani wala kulea familia yaani point yangu hapa ni kwamba kama anaingilia majukumu yako basi na wewe ingilia majukumu yake ila kama haingilii majukumu yako baso na wewe usiingilie majukumu yake
huwezi kutenganisha hayo maandiko na tamaduni,unajiona ulivyo kilaza,hayo maandiko ni tamaduni za kiyahudiWapi nimesema wanaume na wanawake wapo sawa kwenye kila kitu? Inukuu hiyo sehemu unionyeshe halafu kuhusu umri wa kuoa au kuolewa hiyo ni mitazamo ya kijamii tu ila kiuhalisia mwanaume anaweza kuoa na mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wowote ule ambao unamruhusu yeye kufanya tendo la ndoa
Hata kwenye maandiko inajulikana na hakuna sehemu maandiko yamespecify umri maalum wa mwaume kuoa au mwanamke kuolewa na mimi nitaenda kimaandiko zaidi na siyo kitamaduni na mitazamo yenu hii inahopingana na maandiko sasa kama haujui maandiko pole