Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Sasa hapo una uhakika gani kwamba wewe ndiyo mwenye akili na yeye ndiye mjinga??

ukishindwa kujua nani ana akili na nani hana kati yangu na mwamba ni halali umpangie mumeo za ya kuosha vyombo

lakini nimefuta maneno yangu yotee juu yake angalia comment zake zilivyofuata ndo utajua yeye mwenyewe kagundua kuna tatizo mahali kajirekebisha
 
Asante sana kaka yangu afadhali wewe umeongea ukweli maana wengine naona hawaeleweki wanataka kuongea nini mtu haeleweki kama yeye anafuata maandiko au tamaduni maana maandiko na tamaduni yanatofautiana kwa kiasi chake
Yaani tatizo kubwa dada yangu kwa nyakati hizi tulizonazo tumedandia kila kitu kilicholetwa hasa hasa na nchi za magharibi hususani mambo ya demokrasia yeny kubeba kila uchafu ndani yake kama dodoki.

Humo utakuta vitu vinavyoitwa haki za binadamu (siyo kitu kibaya) lakini zikiambatana kama na haki za ushoga na usagaji....wanataka watu wa aina hii waheshimiwa wakitaka katiba na sheria zetu zitambue hilo na pia hata dini zikubali na kuwafungisha ndoa watu hawa na mfano mzuri hapa Tanzania tayari kuna dhehebu lilikubalia au kuelekea kukubaliana na jambo hilo. Mengine ndiyo hayo sasa na 50/50 kwenye ndoa kati ya mke na mumu. Lakini ukikaa na hawa watu ukawabana vzuri hadi kwenye kona cha kukueleza kweny hiyo 50/50 ya kwenye ndoa wanayodai vingine havina maana bali ni misingi ya ubomoaji wa ndoa zenyewe. Nikupe mfano mdogo tu.....wanawake wanajengewa na ujasiri/utamaduni wa kumpa mapenzi mumewe anapotaka yeye..... kwa mujibu wa ukristo kwa mfano hilo ni kosa la kuvunja ndoa maana bible inawaambia wakristo peaneni bila kunyimana.

Nimalizie dada yangu kwa kusema tu kuwa kweny hiyo 50/50 yapo mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na common ownership ya mali zenu na maamuzu ya pamoja ( Na hili nililijadili kwenye mchango wa kwanza wa thread hii kuwa ukiristo ulishaweka usawa huu....mume kumpenda mke na mke kumtii mume hapa unapata yote katika yote) lakini kuna haya mengine ni ndiyo ambayo yanashikiliwa na wanaharakati wengi tumeletewa ili tu yabomoa familia zetu zilizokuwa bora tangu dahari na dahari kwa kisingizio cha demokrasia na haki za binadamu. Na kumbuka kusambaratika kwa familia ni kusambaratika kwa jamii na taifa kwa ujumla kisiasa, kiuchumi na kitamaduni/kiimani.
 
Habari za usiku huu wana JF?

Mie wala siyo mwingi wa habari ila nilitaka tu kuwauliza ninyi kaka zetu hili swali kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.

Swali: Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha usawa kivipi yaani kwenye mambo yepi haswa?

Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Naombeni majibu yenu tafadhali na hata wanawake wenzangu pia mnaweza kujibu chochote mnachojua kuhusiana na hayo maswali maana mimi sina majibu kabisa.
Hamtimizi majukumu yenu ya mwanamke wa kiafrika..
 
Yaani tatizo kubwa dada yangu kwa nyakati hizi tulizonazo tumedandia kila kitu kilicholetwa hasa hasa na nchi za magharibi hususani mambo ya demokrasia yeny kubeba kila uchafu ndani yake kama dodoki.

Humo utakuta vitu vinavyoitwa haki za binadamu (siyo kitu kibaya) lakini zikiambatana kama na haki za ushoga na usagaji....wanataka watu wa aina hii waheshimiwa wakitaka katiba na sheria zetu zitambue hilo na pia hata dini zikubali na kuwafungisha ndoa watu hawa na mfano mzuri hapa Tanzania tayari kuna dhehebu lilikubalia au kuelekea kukubaliana na jambo hilo. Mengine ndiyo hayo sasa na 50/50 kwenye ndoa kati ya mke na mumu. Lakini ukikaa na hawa watu ukawabana vzuri hadi kwenye kona cha kukueleza kweny hiyo 50/50 ya kwenye ndoa wanayodai vingine havina maana bali ni misingi ya ubomoaji wa ndoa zenyewe. Nikupe mfano mdogo tu.....wanawake wanajengewa na ujasiri/utamaduni wa kumpa mapenzi mumewe anapotaka yeye..... kwa mujibu wa ukristo kwa mfano hilo ni kosa la kuvunja ndoa maana bible inawaambia wakristo peaneni bila kunyimana.

Nimalizie dada yangu kwa kusema tu kuwa kweny hiyo 50/50 yapo mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na common ownership ya mali zenu na maamuzu ya pamoja ( Na hili nililijadili kwenye mchango wa kwanza wa thread hii kuwa ukiristo ulishaweka usawa huu....mume kumpenda mke na mke kumtii mume hapa unapata yote katika yote) lakini kuna haya mengine ni ndiyo ambayo yanashikiliwa na wanaharakati wengi tumeletewa ili tu yabomoa familia zetu zilizokuwa bora tangu dahari na dahari kwa kisingizio cha demokrasia na haki za binadamu. Na kumbuka kusambaratika kwa familia ni kusambaratika kwa jamii na taifa kwa ujumla kisiasa, kiuchumi na kitamaduni/kiimani.

Kwa namna moja ama nyingine mkuu unasisitiza mwanamke amtii mwanaume

Utii maana yake lazima mke awe chini ya mume

hapa unamaanisha mwanaume ndo muamuzi sio

Yaani hata kama majadiliano yakishindkana inabidi wazo la mwanaume lifuatwe si ndio mkuu ee

Yaani ni hivi Baba abaki kuwa baba na awe provider si ndio

Mama yeye afanye kazi zake za kuwa mwangalizi wa familia hata kama ana kazi si ndio

nimekuelewa mwanangu

sorry pale juu nilikuletea noma mzee

najua umenisamehe mkuu
 
Ndiyo maana nilikwambia soma ujumbe wake kwanza halafu hapo uliposema mwanamke atimize majukumu yake hata kama ana kazi unamaanisha pia hela yake ni yake na pia wewe utampa hela yako kama kawaida si ndiyo??

Asante Mkuu
Yaani tatizo kubwa dada yangu kwa nyakati hizi tulizonazo tumedandia kila kitu kilicholetwa hasa hasa na nchi za magharibi hususani mambo ya demokrasia yeny kubeba kila uchafu ndani yake kama dodoki.

Humo utakuta vitu vinavyoitwa haki za binadamu (siyo kitu kibaya) lakini zikiambatana kama na haki za ushoga na usagaji....wanataka watu wa aina hii waheshimiwa wakitaka katiba na sheria zetu zitambue hilo na pia hata dini zikubali na kuwafungisha ndoa watu hawa na mfano mzuri hapa Tanzania tayari kuna dhehebu lilikubalia au kuelekea kukubaliana na jambo hilo. Mengine ndiyo hayo sasa na 50/50 kwenye ndoa kati ya mke na mumu. Lakini ukikaa na hawa watu ukawabana vzuri hadi kwenye kona cha kukueleza kweny hiyo 50/50 ya kwenye ndoa wanayodai vingine havina maana bali ni misingi ya ubomoaji wa ndoa zenyewe. Nikupe mfano mdogo tu.....wanawake wanajengewa na ujasiri/utamaduni wa kumpa mapenzi mumewe anapotaka yeye..... kwa mujibu wa ukristo kwa mfano hilo ni kosa la kuvunja ndoa maana bible inawaambia wakristo peaneni bila kunyimana.

Nimalizie dada yangu kwa kusema tu kuwa kweny hiyo 50/50 yapo mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na common ownership ya mali zenu na maamuzu ya pamoja ( Na hili nililijadili kwenye mchango wa kwanza wa thread hii kuwa ukiristo ulishaweka usawa huu....mume kumpenda mke na mke kumtii mume hapa unapata yote katika yote) lakini kuna haya mengine ni ndiyo ambayo yanashikiliwa na wanaharakati wengi tumeletewa ili tu yabomoa familia zetu zilizokuwa bora tangu dahari na dahari kwa kisingizio cha demokrasia na haki za binadamu. Na kumbuka kusambaratika kwa familia ni kusambaratika kwa jamii na taifa kwa ujumla kisiasa, kiuchumi na kitamaduni/kiimani.
 
Mwanaume kumsaidia mkeo kazi za ndani siyo kosa wala siyo dhambi kama tu yeye anavyokusaidia wewe kutafuta pesa
ukishindwa kujua nani ana akili na nani hana kati yangu na mwamba ni halali umpangie mumeo za ya kuosha vyombo

lakini nimefuta maneno yangu yotee juu yake angalia comment zake zilivyofuata ndo utajua yeye mwenyewe kagundua kuna tatizo mahali kajirekebisha
 
Ndiyo maana nilikwambia soma ujumbe wake kwanza halafu hapo uliposema mwanamke atimize majukumu yake hata kama ana kazi unamaanisha pia hela yake ni yake na pia wewe utampa hela yako kama kawaida si ndiyo??

Namaanisha hela yake mimi ndo naipangia matumizi na mpaka sasa nafanya hivyo kwa mwanamke ambaye nipo nae kwenye mahusiano

sikutaka kusoma ujumbe wa kwanza na sababu ilikuwa clear CAPITAL LETTERS sisomi
 
Sio kosa kabisa ila inategemea imekujaje yaani ikija kizamu zamu shida inaanzia hapo
Labda nikuulize ndugu yangu hivi zile ndoa ambazo mume na mke wanatoa hela pasu kwa pasu au pengine mke ndiyo anatoa hela zaidi kuliko mume nazo unataka mume asifanye kazi za ndani azifanye mke peke yake au??
 
Tatizo mke akishakuwa provider tu shida inaanzia hapo

mimi laziama nitoe zaidi yake
 
Labda nikuulize ndugu yangu hivi zile ndoa ambazo mume na mke wanatoa hela pasu kwa pasu au pengine mke ndiyo anatoa hela zaidi kuliko mume nazo unataka mume asifanye kazi za ndani azifanye mke peke yake au??
Duuuh! kumekucha, tunasubiri na wewe tangazo lako la kutafuta mme.
 
Back
Top Bottom