Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

Niliwahi enzi nimemaliza chuo afu Sina ramani, mdada mmoja mwalimu wa shule ya msingi alinielewa sana, akawa anatuma na yakutolea naenda pande za wilaya ya Karatu ndani ndani huko nakaa Hadi wiki tatu nimefungiwa ndani na kazi Ni moja tu kunyanduana....kilichokuja kutokea sitamani kukumbuka
Simulia ilikuwaje
 
Hebu funguka na wadau nini kilitokea?

#nyumayapazia
Mkuu kama una mawe fanya hivyo.
Ila kama tia mchuzi tia mchuzi.
Mawe yanakupa nguvu ya kufanya lolote muda wowote ule.
Tena inaonekana unaenda kutembea😀😀
 
Kazi tunayo....mwanaume lazima uwe mwanaume.....Kuna mwamba alikaa kwa mama muuza wakati twasotea kazi mradi wa........kila asubuhi twaenda sabahi,shemeji za asubuhi.....twakaribishwa na glass ya gongo......maisha ni safari.....jamaa ni senior surveyor
 
Niliwah ishi kwa demu wangu nilkuwa namzid miaka 5

Wakat huo nimemaliza chuo sina ramani, nilikuwa naondoka nyumban nawaambia nasafir nakaa ndani ya mjengo wiki nzima,hapo kwa mpenz wangu na nyumban ilikuwa mtaa mmoja

Demu nilimkuta anaishi na mwanae kama wa miaka 3, kutokana na utamu wa mnyanduo,demu akaamua kumrudisha mtoto kwao ili tuwe huru,yaan tulikuwa tunanyanduana kila muda tunapohitaji

Huyo demu aliwah niambia alikuwa na duka la mahitaj ya nyumban ila alivunjiwa duka,na wakawakamata wezi kwa kuogopa ikabid atoke mazingira ya kwao aje kupanga mtaan kwetu na kwel mle ndani mwake kulikuwa na mazaga zaga kibao ya kutumia

Kumbe bhana kuna mjuba mmoja alikuwa anahudumia,siku moja alitufuma ilikuwa noma

Huyo mwamba alikuwa akihitaj mbususu ya bibie anamuita mkoani anaenda kumpiga vitu,mi nadanganywa kasafir kaenda kwa ndugu zake kumbe kaenda kulipia bills

Baada ya demu kunogewa nami akawa hatak tena kukutana na jamaa,jamaa ndo ikabid afatilie kulikon demu kabadilika
Aisee.
 
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.

Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako, hebu tuambie ilikuwaje?

#Nyumayapazia
mawazo ya kijinga kama haya wanayo vijana graduates na wazembe wapenda vitonga. Tafuta pesa broo uishi kwako wanawake hawafai kwenye chao
 
Kuishi kwenye nyumba ya mwaname sio dhambi ila dhambi kubwa ni siku mkizinguana akakufukuza uwe huna hela na pakuishi huna. Fedhea mbaya sanaa asee
Akili ni hii;Hata kama umemuoa na mna watoto kabisa ishi kwa tahadhari.
Hakikisha una nyumba yako binafsi ambayo yeye haijui. We jenga ama nunua kimyaa kimyaa kama wazazi wako hai wafahamishe.
Kama huna uwezo wa kujenga basi ukianza kuona chenga chenga tuu fanya utafte nyumba ya kupanga fastaa, weka mazaga muhimu kaa mkao wa kupeperuka.
Siku akiropoka tuu wewe yuleee,atashangaa tuu haurudi walaa hunuulizi. Huyo hata ukimrudia heshima itakuwepo kisha jenga mjengo wa kimyakimyaa
 
Hapa napokaa kuna jamaa kauzu, hasalimii na ukimsalia haitiki, nilisikia mkewe akisema jamaa hataki mazoea na anataka mkewe asiongee na mtu ila mke kagoma
Juzi usiku nikasikia vishindo nje mara mawe yana rushwa kutoka nimekuta show ya kimya kimya jamaa katimiliwa na kaondoka.
 
Haya maisha,ni kitu kingine.
1. Unaweza kuishi kwake,kama unapendwa,na uwezo huna. Sawa,kwa mda utakaa,ila kikubwa soma mazingira. Na kosa kubwa,mkaaji utakuta hajiongezi. Kama umepewa hifadhi ya mda,onyesha msimamo. Na ikiwezekana ukipata kodi,kapange,uwe kwake kukiwa na haja. Na pia ukiwepo,jishughurishe na chochote siyo ukae tu usubiri kuinamisha.

2. Kuna wengine yupo radhi kuachia kila kitu mikononi mwako. Kama kweli amekolea. Wa hivyo ni muelewa,ukimhamisha mtahama. Kwake apangishe,mkapange. Ila kuishi kwake,utahangaika.

3. Kuna wengine akili zimefyatuka. Hata wanaume wapo wa hivyo. Anaweza akakutafuta na akalia. Ila sasa,ukiwa kwake,sijui wazimu,nini. Hata kama mnapiga sarakasi,atakugeuka na akufukuze. Tena hata majirani watajua mshikaji kuzenguliwa hapa.
-Mwanamke anaweza kupata hifadhi kwa mwanaume.
-Mwanaume,anastahili hifadhi kwa mwanaume mwenzie. Lakini umario umekuwa mwingi
 
Shauri zenu, yakiwakuta mje kutusimulia.
 
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.

Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako, hebu tuambie ilikuwaje?

#Nyumayapazia
Siyo ukame wala msoto, sisi kwetu hatuishi nyumba ya mume. Mwiko.

Mimi binafdu mume anaishi kwangu leo miaka zaidi ya 40 ya ndoa yetu na ana majumba yake.

Siwezi kuvunja mafundishobha wazee wetu, mama zetu tumewakuta wameolewa lakini wanaishi kwao si kwa waume zao.
Na mwanamme hamiliki kitu ndani ya nyumba zaidi ya nguo na pumbu zake tu.

Siku mwanamme ukikuta kufurushi cha nguo zako nje ya nyumba ndiyo usanzuke.
 
Kabila gani

Wewe kabila gani binti mrembo?
 
Hapa napokaa kuna jamaa kauzu, hasalimii na ukimsalia haitiki, nilisikia mkewe akisema jamaa hataki mazoea na anataka mkewe asiongee na mtu ila mke kagoma
Juzi usiku nikasikia vishindo nje mara mawe yana rushwa kutoka nimekuta show ya kimya kimya jamaa katimiliwa na kaondoka.
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom