jo5
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 894
- 1,381
🤣🤣🤣Siyo kweli....Kwahyo ulitatuliwa marinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Siyo kweli....Kwahyo ulitatuliwa marinda
Simulia ilikuwajeNiliwahi enzi nimemaliza chuo afu Sina ramani, mdada mmoja mwalimu wa shule ya msingi alinielewa sana, akawa anatuma na yakutolea naenda pande za wilaya ya Karatu ndani ndani huko nakaa Hadi wiki tatu nimefungiwa ndani na kazi Ni moja tu kunyanduana....kilichokuja kutokea sitamani kukumbuka
Ipo siku tasimulia mkuuSimulia ilikuwaje
Zingatia hilo, mengine hayakuhusu...Ndio, jitahidi uishi kwa malengo maana siku mkigombana anakufukuza kwa sauti na majirani wanasikia.
Unatakiwa utie huruma sioNdio, jitahidi uishi kwa malengo maana siku mkigombana anakufukuza kwa sauti na majirani wanasikia.
Mkuu kama una mawe fanya hivyo.Hebu funguka na wadau nini kilitokea?
#nyumayapazia
Aisee.Niliwah ishi kwa demu wangu nilkuwa namzid miaka 5
Wakat huo nimemaliza chuo sina ramani, nilikuwa naondoka nyumban nawaambia nasafir nakaa ndani ya mjengo wiki nzima,hapo kwa mpenz wangu na nyumban ilikuwa mtaa mmoja
Demu nilimkuta anaishi na mwanae kama wa miaka 3, kutokana na utamu wa mnyanduo,demu akaamua kumrudisha mtoto kwao ili tuwe huru,yaan tulikuwa tunanyanduana kila muda tunapohitaji
Huyo demu aliwah niambia alikuwa na duka la mahitaj ya nyumban ila alivunjiwa duka,na wakawakamata wezi kwa kuogopa ikabid atoke mazingira ya kwao aje kupanga mtaan kwetu na kwel mle ndani mwake kulikuwa na mazaga zaga kibao ya kutumia
Kumbe bhana kuna mjuba mmoja alikuwa anahudumia,siku moja alitufuma ilikuwa noma
Huyo mwamba alikuwa akihitaj mbususu ya bibie anamuita mkoani anaenda kumpiga vitu,mi nadanganywa kasafir kaenda kwa ndugu zake kumbe kaenda kulipia bills
Baada ya demu kunogewa nami akawa hatak tena kukutana na jamaa,jamaa ndo ikabid afatilie kulikon demu kabadilika
HahahahaUnatakiwa utie huruma sio
mawazo ya kijinga kama haya wanayo vijana graduates na wazembe wapenda vitonga. Tafuta pesa broo uishi kwako wanawake hawafai kwenye chaoKatika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.
Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako, hebu tuambie ilikuwaje?
#Nyumayapazia
Hapa napokaa kuna jamaa kauzu, hasalimii na ukimsalia haitiki, nilisikia mkewe akisema jamaa hataki mazoea na anataka mkewe asiongee na mtu ila mke kagomaKuishi kwenye nyumba ya mwaname sio dhambi ila dhambi kubwa ni siku mkizinguana akakufukuza uwe huna hela na pakuishi huna. Fedhea mbaya sanaa asee
Akili ni hii;Hata kama umemuoa na mna watoto kabisa ishi kwa tahadhari.
Hakikisha una nyumba yako binafsi ambayo yeye haijui. We jenga ama nunua kimyaa kimyaa kama wazazi wako hai wafahamishe.
Kama huna uwezo wa kujenga basi ukianza kuona chenga chenga tuu fanya utafte nyumba ya kupanga fastaa, weka mazaga muhimu kaa mkao wa kupeperuka.
Siku akiropoka tuu wewe yuleee,atashangaa tuu haurudi walaa hunuulizi. Huyo hata ukimrudia heshima itakuwepo kisha jenga mjengo wa kimyakimyaa
Siyo ukame wala msoto, sisi kwetu hatuishi nyumba ya mume. Mwiko.Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.
Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako, hebu tuambie ilikuwaje?
#Nyumayapazia
Siyo ukame wala msoto, sisi kwetu hatuishi nyumba ya mume. Mwiko.
Mimi binafdu mume anaishi kwangu leo miaka zaidi ya 40 ya ndoa yetu na ana majumba yake.
Siwezi kuvunja mafundishobha wazee wetu, mama zetu tumewakuta wameolewa lakini wanaishi kwao si kwa waume zao.
Na mwanamme hamiliki kitu ndani ya nyumba zaidi ya nguo na pumbu zake tu.
Siku mwanamme ukikuta kufurushi cha nguo zako nje ya nyumba ndiyo usanzuke.
Wewe kabila gani binti mrembo?
Ha ha haHapa napokaa kuna jamaa kauzu, hasalimii na ukimsalia haitiki, nilisikia mkewe akisema jamaa hataki mazoea na anataka mkewe asiongee na mtu ila mke kagoma
Juzi usiku nikasikia vishindo nje mara mawe yana rushwa kutoka nimekuta show ya kimya kimya jamaa katimiliwa na kaondoka.