Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.

Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.

Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
I really miss you rafiki, heri ya mwaka mpya 2022.
 
Hongera kwa kupenda bibie.

Ili nikushauri vizuri nijibu haya maswali matatu;-
1. Sababu ipi ilikufanya ukacheat hiyo mara Moja?
2. Nini kilikufanya uachane na huyo jamaa uliechepuka nae?
3. Nini kinakupa uhakika kusema mchumba wako hajui kama ulicheat?
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.
Unakosea unaposema ana sehemu ndogo za siri, inawezekana wewe ndio una sehemu kubwa kuliko yeye.
Lakini pia inawezekana ulianza kwa kukutana na watu wenye maumbile makubwa sana, hivyo unafikiri kila mtu anapaswa kuwa kama hao.

Hili la kutojiamini usilihusishe na maumbile madogo kama unavyofikiri na kwa kuwa umekiri kuwa unaridhika nafikiri hicho ndio kitu muhimu.Love making is an art and not the matter of big or small penis, make him feel your satisfaction and not otherwise. His insecurity may be the result of other factors.
 
Hata hivyo wewe sio wa kuaminika kivike, kama uliweza kucheat makusudi utarudia tena.
Kuhusu maumbile subiri watu wafupi waamke..
Watani zangu a.k.a warefu kwenda chini amkeni mnaitwa huku[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwanini usiiondoe hiyo insecure yake.
Je mkimaliza tendo huwa unamaifia au kumwambia kua umeridhika??

Kama yeye hajiamini basi si rahisi kukuuliza ila wewe sasa kwakua umemjua jinsi anavojihisi ni wajibu wako walau kumsifia. Ila kama mnaenda kibubu bubu basi ndio maana jamaa anahisi huridhiki.

Kusema humpendei pesa acha kudanganya umma, hapo juu umemsiafia juu ya kutokua bahili. Huenda huo mchepuko uliuacha kisa ni bahili.

Vunja ukimya zungumza na mwenzio.
 
 
Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.

Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.

Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
Asante tumepoa
 
Hiv yeye kakaa nae mda gan vile?😂😂😂😂😁
 
Ndogo kvip, inasize gan hadi useme ni ndogo
Mkuu; hawa viumbe wana uzoefu wa kutosha na madude haya, wanajua kubwa a.k.a mtura ikoje, size ya kati na ndogo.
Hivyo asemavyo ndogo analinganisha na mituringa, mitura iliyompitiaga.
Angekua hana uzoefu wa aina tofauti asingekuwa na pa kulinganishia na angebaki akijua vyote huwa viko vile.
 
Ww mwanamke umejuaje Kua Mwanaume wako anasehemu ndogo zasiri,kama anakuridhisha,naje kipimo sahihi chakua nisehemu ndogo au kubwa,unapima wakati dushelele limesimama au likiwa limelala .
Achana na mauzoefu ya watu mkuu
 
Kaka yangu mwanaume anayerudia rudia maneno kila mkigombana ni gubu
Kwa kiasi nakubaliana na wewe, lakini mleta uzi hajaeleza kuwa huwa anamkosea kitu gani hivyo hatuwezi kutoa hukumu ya haki
 
Back
Top Bottom