Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

Wewe ndio chanzo cha yeye kujihisi insecure. Jichunguze then ubadirike
Kama kunaukweli kiasi flani,Kaka,kiufupi yy hajamuaminisha kama kweli Yuko nae kivitendo,ndio manaa akamcheat kisirisiri,lkn,alivyogundua Kua,alikokua niugali wakulumangia namlenda,Akaona niheri kumludia mshikaji Ila deep down ww humoendi mshikaji wala nn unatuzuga wanajukwaa tuhapa
 
Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.

Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.

Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
Miaka 42 mbona mingi sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kupenda bibie.

Ili nikushauri vizuri nijibu haya maswali matatu;-
1. Sababu ipi ilikufanya ukacheat hiyo mara Moja?
2. Nini kilikufanya uachane na huyo jamaa uliechepuka nae?
3. Nini kinakupa uhakika kusema mchumba wako hajui kama ulicheat?
On top of that,amejuaje Kua jamaa anamaumbile madogo
 
Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.
Gegedo na pesa ni kila kitu kwa mwanaume. Asilimia kubwa ya wanaume tuna gegedelo, asilimia ndogo pesa zipo. Uzuri ni kuwa pesa zinatafutwa.
Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.
Asilimia kubwa ya Wanaume wote tuliooa na kutunza familia tuna gegedelo na pesa za kutunzia familia.
Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
Hapa labda unaongelea porno addicts. Porno addicts ndio wanapata shida na ukubwa wa gegedelo, wanawake zao pia wana akili za kimalaya sababu ni porn addicts sasa lazima wagombaniwe. Huwezi kuta mwanaume anayejiheshimu na baba wa familia anagombaniwa kizembe.

Wanawake wenye akili na wake bora wasio na uke wa wananchi gegedelo la mume aliyemchagua kwa ridhaa yake litamridhisha na atalifurahia.
 
Unakosea unaposema ana sehemu ndogo za siri, inawezekana wewe ndio una sehemu kubwa kuliko yeye.
Lakini pia inawezekana ulianza kwa kukutana na watu wenye maumbile makubwa sana, hivyo unafikiri kila mtu anapaswa kuwa kama hao.
Hili la kutojiamini usilihusishe na maumbile madogo kama unavyofikiri na kwa kuwa umekiri kuwa unaridhika nafikiri hicho ndio kitu muhimu.Love making is an art and not the matter of big or small penis, make him feel your satisfaction and not otherwise. His insecurity may be the result of other factors.
Yy pia ndio chanzo cha insecurities zahuyo mchumba wake
 
Kwanini usiiondoe hiyo insecure yake.
Je mkimaliza tendo huwa unamaifia au kumwambia kua umeridhika??

Kama yeye hajiamini basi si rahisi kukuuliza ila wewe sasa kwakua umemjua jinsi anavojihisi ni wajibu wako walau kumsifia. Ila kama mnaenda kibubu bubu basi ndio maana jamaa anahisi huridhiki.

Kusema humpendei pesa acha kudanganya umma, hapo juu umemsiafia juu ya kutokua bahili. Huenda huo mchepuko uliuacha kisa ni bahili.

Vunja ukimya zungumza na mwenzio.
Una Akili kubwa Sana mkuu,mleta mada anaiponda pesa huenda ndio ilimfanya aachane namchepuko wake wa awali alidhani wanaume wote nisawa
 
Mkuu; hawa viumbe wana uzoefu wa kutosha na madude haya, wanajua kubwa a.k.a mtura ikoje, size ya kati na ndogo.
Hivyo asemavyo ndogo analinganisha na mituringa, mitura iliyompitiaga.
Angekua hana uzoefu wa aina tofauti asingekuwa na pa kulinganishia na angebaki akijua vyote huwa viko vile.
Mkuu umejibu vyema Sana,nadhani ndio maana dini zote zinazuia uzinzi ili kulinda ndoa takatifu,maana Kua nawapenzi wengi huleta machafuko nakukosekana utulivu ktk ndoa,maana ukweli maumbile nafani yamapenzi hutofautiana Kati yamtu namtu
 
Mkuu; hawa viumbe wana uzoefu wa kutosha na madude haya, wanajua kubwa a.k.a mtura ikoje, size ya kati na ndogo.
Hivyo asemavyo ndogo analinganisha na mituringa, mitura iliyompitiaga.
Angekua hana uzoefu wa aina tofauti asingekuwa na pa kulinganishia na angebaki akijua vyote huwa viko vile.
Baas kazoea mandingo
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.
Y umekimbilia maumbile yake kama sababu je alishawahi kukuambia kuhusu ilo? Kama jibu ni NO basi jua anakuona kama vile anakupa msaada wa maisha umejishikiza kama kupe kwake na hakuamini kabisa kama umefall kwake anakuchukulia kama Wauza mbususu uwanja wa fisi .
NB: Mtu akikasirika husema ukweli mark my words binti anachokisema wakati ana hasira kipo uvunguni mwa moyo wake.
Over
 
Gegedo na pesa ni kila kitu kwa mwanaume. Asilimia kubwa ya wanaume tuna gegedelo, asilimia ndogo pesa zipo. Uzuri ni kuwa pesa zinatafutwa.

Asilimia kubwa ya Wanaume wote tuliooa na kutunza familia tuna gegedelo na pesa za kutunzia familia.

Hapa labda unaongelea porno addicts. Porno addicts ndio wanapata shida na ukubwa wa gegedelo, wanawake zao pia wana akili za kimalaya sababu ni porn addicts sasa lazima wagombaniwe. Huwezi kuta mwanaume anayejiheshimu na baba wa familia anagombaniwa kizembe.

Wanawake wenye akili na wake bora wasio na uke wa wananchi gegedelo la mume aliyemchagua kwa ridhaa yake litamridhisha na atalifurahia.
Nikweli mkuu
 
Hahahahaa

Nampemda sana sana ila nilimcheat mara moja...

Huyo ni option B kwako ila unajilazimisha kumfanya option A sababu huoni bora zaidi yake kwenye nyanja nyingine za maisha.

Akikuoa wewe atajuta sana sababu LAZIMA utamsaliti.

Wanaume muwe makini na wanawake wanasema wanakupenda hlf walishakusaliti,huu ni unafiki wa kiwango cha lami.

Kama mwanaume ana kila kitu unachokitaka, mwanamke ajaumbwa kusaliti mwanaume mwenye kila kitu anachokitaka.Ukiona una kila kitu na mwanamke kakusaliti hiyo ndo sababu KuBwa kwanini umuache.
 
Y umekimbilia maumbile yake kama sababu je alishawahi kukuambia kuhusu ilo? Kama jibu ni NO basi jua anakuona kama vile anakupa msaada wa maisha umejishikiza kama kupe kwake na hakuamini kabisa kama umefall kwake anakuchukulia kama Wauza mbususu uwanja wa fisi .
NB: Mtu akikasirika husema ukweli mark my words binti anachokisema wakati ana hasira kipo uvunguni mwa moyo wake.
Over
Nakazia hapo kwenye NB
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Kwanza Pole sana, pili tambua kua kila mahusiano hayakosi kachangamoto fulani kanako ibuka na kupotea au kanakojirudia rudia, wengine wanaona uchafu fanya hili...wengine lile..wengine hawataki nyonya mboo au K..wivuuu wasiojua kukisi wale kama mabundi..kina koromaso etc ilihali changamoto ni sehemu ya maisha ya mapenzi, swala ni je una capacity ya kuvumilia au no, usinambie habari za mpaka kifo sijui nini cause i dont believe in that naamini katika majaaliwa ya mungu na kuweka juhudi katika penzi.

Tukirudi kwenye mada naanza kwa kusema, The fact that umewahi cheat wakati upo kwenye mahusiano nae tena mara kadhaa kama unavyosema ""haikudumu sana""ni fact kwamba kuna kitu kilpeleke ambacho kinatoa tafsiri kua mapenzi yako kwako hayakua good enough na ulikua hufai kuaminiwa, poor guy kalambwa kisogo kwa mgogngo wa chupa japa, hii pekee inahalalisha haki ya yeye kuto kukuamini japo hajui ulivyowahi mtendea. Anyways its good that umebadilika, lets assume umekua gilrfriend mwema na baki hivyo, na tuendelee kuangalia tatizo lililopo.

Kama mwanaume huu ni uzoefu wangu kuhusu kutojiamini hasa katika maumbile. Ukiachana kua hili ni swala la maumbile lakini pia lina mwingiliano na sakolojia mda mwingine, unaweza kuta mtu anamboo nchi 7 ambayo tayari inaingia kwenye tafsiri ya mboo kubwa kwa mujibu wa jinsi porn industry ilivyo tujengea dhana hiyo, na bado ukakuta huyu mtu anaquestion whether he is good enough or not, cause jib lake linategemeana na mambo mengi. Mwenyewe na mboo yangu kubwa nimewahi pitia hii episode enzi za ujana mpaka nilipoifahamu elimu ya mapenzi vizuri na niliposifiwa sifiwa sana ndo nikatulia. Huyu bwana je, amewahi toa neno lolote au gusia chochote kuhusu mtazamo wake juu ya ukubwa wa uume wake?

Hapa ndo tutatambua insecurity yake, usidhanie tu, dhana ni uongo mana ubongo ni very complex. Unaweza kuta uume wake mdogo ni kwa tafsiri yako ukilinganisha na mboo ulizopita nazo nyuma?

Hii inamaanisha nini katika saikolojia ya haya mambo ukubwa ni relative term inayochangiwa na mambo mengi ikiwemo mtazamo binafsi kulingana na mambo unayoyajua kuhusu maumbile au jamii inavyotafsiri size (Sex education ndo inapokua muhimu). Unaweza kuta mshkaji anajiona ni mtu mwenye maumbile ok au average au makubwa unleass ni kama kipunje, na ukashangazwa miaka yote hiyo tatizo lenu likawa halitokani na hisia zako za maumbile bali ikawa ni ishu ya uaminifu, kwamba haamini kua humpendi as wengi hawajui au hawatakagi kuonesha upendo wao kisa walikuzwa na narrative zile za akijua ataniumiza, Kitu kisicho na mashiko kabisa.

Am sorry nabwabwaja but i hope umeshagundua kua ninachojaribu kuzungumza hapa ni kwamba dawa ni kukaa chini na kuzungumza haya yote yanayowasibu maana yanaharibu penzi lenu tamu, tena kwa ukweli ulio uchi kabisaaaa, eleza how much unavyompenda na jinsi reactions zake zinavyokuweka mbali nae siku hadi siku..ataumia ila atakupenda kwa ukweli wako na he will fight for that love. Na kama amedisplay hizi insecurities za uume explicityly mwambie mboo yake inakutosheleza na hausemi ili kumfariji ila ni kweli, and be honest to your self kama haikutosherezi leta tena hiyo ni mada ya siku nyingine. Mwishowe, usicheat tena because that makes you a bad girlfriend na mtu usiefaa kuaminiwa. Naamini utapata hata neno moja muhimu hapa.

Ps. Kipapuro
 
Mpe mtoto aamini kweli unampenda na hupendi mkwanja wake.

Ila deep down hata wewe mwenyewe unajua unapendea mkwanja wake na wala hupendi show zake, hilo liko wazi.
Muhimu ni pesa tu wala sio ukubwa was maumbile. Hilo wanaume wote wenye akili zetu tunalielewa.

Huyu dada hata asiwe na tabu kukubali. Sometimes kidole tu kinatosha. .......saizi sio Muhimu kabisa. Muhimu pesa tu.

Vijana wenzangu tutafute pesa. Tutawala mpaka tutachoka wenyewe.
 
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.

Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.

Mimi binafsi nampenda tena sna japo nilimcheat mara moja ila hakuwai kufaham kama nilimcheat. Na yenyewe ata sijadumu sana na uyo niliekuwa namcheat nae tukaachana. Ila toka tumekua engaged sijawai kumcheat tena. Nmetulia sana mpk mwenyewe najishangaa.

Ila yeye hajimini kabisa. Haamini kama nampenda kwa dhati kutoka moyoni, anahisi nipo nae kwasababu ya pesa zake. Tukikorofishana ata kidogo tu ndo neno lake hilo kua npo nae kwasababu ya pesa zake tu. Haya maneno yake yananiumiza sana kwasababu sio kweli kama nampendea pesa. Akitulia anaomba msamaha.

Tukikorofishana tena anarudia maneno haya haya. Yamekua kama wimbo. Tena wimbo unazoeleka lakini haya maneno yake sijawai kuyazoea. Mi nampenda kweli kweli kutoka moyoni mpk akipatwa na kitu kibaya roho inaniuma nakua naumia kama kimenipata mimi. Na mimi sijawai kua na huruma kwa mwanaume yoyote niliekuwa nae kwenye uhusiano,, yeye ndo wa kwanza.

Mpk sasa naanza kuhisi labda kua na sehem ndogo za siri ndo kunamfnya afikirie hawezi kupendwa yeye kama yeye. Anakosa kujiamini katika mahusano. Hivi na nyie wanaume wa umu wenye sehem ndogo mnakua pia hamjiamini kama huyu. Mnahisi kama hamuezi kupendwa nyie kama nyie?
Ndivo walivo hao na nimara chache kuwakuta wanachepuka ovyo
 
Back
Top Bottom