Kama kunaukweli kiasi flani,Kaka,kiufupi yy hajamuaminisha kama kweli Yuko nae kivitendo,ndio manaa akamcheat kisirisiri,lkn,alivyogundua Kua,alikokua niugali wakulumangia namlenda,Akaona niheri kumludia mshikaji Ila deep down ww humoendi mshikaji wala nn unatuzuga wanajukwaa tuhapaWewe ndio chanzo cha yeye kujihisi insecure. Jichunguze then ubadirike
Miaka 42 mbona mingi sana.Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.
Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.
Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
On top of that,amejuaje Kua jamaa anamaumbile madogoHongera kwa kupenda bibie.
Ili nikushauri vizuri nijibu haya maswali matatu;-
1. Sababu ipi ilikufanya ukacheat hiyo mara Moja?
2. Nini kilikufanya uachane na huyo jamaa uliechepuka nae?
3. Nini kinakupa uhakika kusema mchumba wako hajui kama ulicheat?
Gegedo na pesa ni kila kitu kwa mwanaume. Asilimia kubwa ya wanaume tuna gegedelo, asilimia ndogo pesa zipo. Uzuri ni kuwa pesa zinatafutwa.Mungu hakupi vyote, anakupa pesa anakunyima gegedelo, anakupa gegedelo, anakunyima pesa.
Asilimia kubwa ya Wanaume wote tuliooa na kutunza familia tuna gegedelo na pesa za kutunzia familia.Ikitokea vyote ukawa navyo basi yaweza tokea usipate furaha ya ndoa au kuikosa kabisa.
Hapa labda unaongelea porno addicts. Porno addicts ndio wanapata shida na ukubwa wa gegedelo, wanawake zao pia wana akili za kimalaya sababu ni porn addicts sasa lazima wagombaniwe. Huwezi kuta mwanaume anayejiheshimu na baba wa familia anagombaniwa kizembe.Utazalisha kila mtaa mitoto itagombania mali +dawa za mama zao kukuroga mwisho unakufa ukiwa na miaka 42. poleni wanaume.
Yy pia ndio chanzo cha insecurities zahuyo mchumba wakeUnakosea unaposema ana sehemu ndogo za siri, inawezekana wewe ndio una sehemu kubwa kuliko yeye.
Lakini pia inawezekana ulianza kwa kukutana na watu wenye maumbile makubwa sana, hivyo unafikiri kila mtu anapaswa kuwa kama hao.
Hili la kutojiamini usilihusishe na maumbile madogo kama unavyofikiri na kwa kuwa umekiri kuwa unaridhika nafikiri hicho ndio kitu muhimu.Love making is an art and not the matter of big or small penis, make him feel your satisfaction and not otherwise. His insecurity may be the result of other factors.
Una Akili kubwa Sana mkuu,mleta mada anaiponda pesa huenda ndio ilimfanya aachane namchepuko wake wa awali alidhani wanaume wote nisawaKwanini usiiondoe hiyo insecure yake.
Je mkimaliza tendo huwa unamaifia au kumwambia kua umeridhika??
Kama yeye hajiamini basi si rahisi kukuuliza ila wewe sasa kwakua umemjua jinsi anavojihisi ni wajibu wako walau kumsifia. Ila kama mnaenda kibubu bubu basi ndio maana jamaa anahisi huridhiki.
Kusema humpendei pesa acha kudanganya umma, hapo juu umemsiafia juu ya kutokua bahili. Huenda huo mchepuko uliuacha kisa ni bahili.
Vunja ukimya zungumza na mwenzio.
Mwanaume mwenye gubu nimwanaume wanamna ganiKuwa na mwanaume mwenye gubu inahitaji uvumilivu sana, mvumilie tu hivyohivyo.
Mkuu umejibu vyema Sana,nadhani ndio maana dini zote zinazuia uzinzi ili kulinda ndoa takatifu,maana Kua nawapenzi wengi huleta machafuko nakukosekana utulivu ktk ndoa,maana ukweli maumbile nafani yamapenzi hutofautiana Kati yamtu namtuMkuu; hawa viumbe wana uzoefu wa kutosha na madude haya, wanajua kubwa a.k.a mtura ikoje, size ya kati na ndogo.
Hivyo asemavyo ndogo analinganisha na mituringa, mitura iliyompitiaga.
Angekua hana uzoefu wa aina tofauti asingekuwa na pa kulinganishia na angebaki akijua vyote huwa viko vile.
Baas kazoea mandingoMkuu; hawa viumbe wana uzoefu wa kutosha na madude haya, wanajua kubwa a.k.a mtura ikoje, size ya kati na ndogo.
Hivyo asemavyo ndogo analinganisha na mituringa, mitura iliyompitiaga.
Angekua hana uzoefu wa aina tofauti asingekuwa na pa kulinganishia na angebaki akijua vyote huwa viko vile.
Y umekimbilia maumbile yake kama sababu je alishawahi kukuambia kuhusu ilo? Kama jibu ni NO basi jua anakuona kama vile anakupa msaada wa maisha umejishikiza kama kupe kwake na hakuamini kabisa kama umefall kwake anakuchukulia kama Wauza mbususu uwanja wa fisi .Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.
Nikweli mkuuGegedo na pesa ni kila kitu kwa mwanaume. Asilimia kubwa ya wanaume tuna gegedelo, asilimia ndogo pesa zipo. Uzuri ni kuwa pesa zinatafutwa.
Asilimia kubwa ya Wanaume wote tuliooa na kutunza familia tuna gegedelo na pesa za kutunzia familia.
Hapa labda unaongelea porno addicts. Porno addicts ndio wanapata shida na ukubwa wa gegedelo, wanawake zao pia wana akili za kimalaya sababu ni porn addicts sasa lazima wagombaniwe. Huwezi kuta mwanaume anayejiheshimu na baba wa familia anagombaniwa kizembe.
Wanawake wenye akili na wake bora wasio na uke wa wananchi gegedelo la mume aliyemchagua kwa ridhaa yake litamridhisha na atalifurahia.
Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake.
Nakazia hapo kwenye NBY umekimbilia maumbile yake kama sababu je alishawahi kukuambia kuhusu ilo? Kama jibu ni NO basi jua anakuona kama vile anakupa msaada wa maisha umejishikiza kama kupe kwake na hakuamini kabisa kama umefall kwake anakuchukulia kama Wauza mbususu uwanja wa fisi .
NB: Mtu akikasirika husema ukweli mark my words binti anachokisema wakati ana hasira kipo uvunguni mwa moyo wake.
Over
Kwanza Pole sana, pili tambua kua kila mahusiano hayakosi kachangamoto fulani kanako ibuka na kupotea au kanakojirudia rudia, wengine wanaona uchafu fanya hili...wengine lile..wengine hawataki nyonya mboo au K..wivuuu wasiojua kukisi wale kama mabundi..kina koromaso etc ilihali changamoto ni sehemu ya maisha ya mapenzi, swala ni je una capacity ya kuvumilia au no, usinambie habari za mpaka kifo sijui nini cause i dont believe in that naamini katika majaaliwa ya mungu na kuweka juhudi katika penzi.Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Muhimu ni pesa tu wala sio ukubwa was maumbile. Hilo wanaume wote wenye akili zetu tunalielewa.Mpe mtoto aamini kweli unampenda na hupendi mkwanja wake.
Ila deep down hata wewe mwenyewe unajua unapendea mkwanja wake na wala hupendi show zake, hilo liko wazi.
Ndivo walivo hao na nimara chache kuwakuta wanachepuka ovyoHuyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri ndogo.
Kua na sehem za siri ndogo ata hainisumbui kwa sababu mimi nakua satisfied hakuna tatizo ndo mana npo nae miaka yote hyo.
Mimi binafsi nampenda tena sna japo nilimcheat mara moja ila hakuwai kufaham kama nilimcheat. Na yenyewe ata sijadumu sana na uyo niliekuwa namcheat nae tukaachana. Ila toka tumekua engaged sijawai kumcheat tena. Nmetulia sana mpk mwenyewe najishangaa.
Ila yeye hajimini kabisa. Haamini kama nampenda kwa dhati kutoka moyoni, anahisi nipo nae kwasababu ya pesa zake. Tukikorofishana ata kidogo tu ndo neno lake hilo kua npo nae kwasababu ya pesa zake tu. Haya maneno yake yananiumiza sana kwasababu sio kweli kama nampendea pesa. Akitulia anaomba msamaha.
Tukikorofishana tena anarudia maneno haya haya. Yamekua kama wimbo. Tena wimbo unazoeleka lakini haya maneno yake sijawai kuyazoea. Mi nampenda kweli kweli kutoka moyoni mpk akipatwa na kitu kibaya roho inaniuma nakua naumia kama kimenipata mimi. Na mimi sijawai kua na huruma kwa mwanaume yoyote niliekuwa nae kwenye uhusiano,, yeye ndo wa kwanza.
Mpk sasa naanza kuhisi labda kua na sehem ndogo za siri ndo kunamfnya afikirie hawezi kupendwa yeye kama yeye. Anakosa kujiamini katika mahusano. Hivi na nyie wanaume wa umu wenye sehem ndogo mnakua pia hamjiamini kama huyu. Mnahisi kama hamuezi kupendwa nyie kama nyie?