Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

''Huyu kaka nipo naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 3''.
Kwa maelezo haya tu inaonyesha umpendi.
 
Mwenyewe umesema umewahi kumcheat sasa unΓ taka na sie tuamini unampenda kweli? Binafsi hapana nafkiri umefata pesa zake tu kama mwamba anavokuchana ukweli maana anakufahamu vzuri kuliko unavojifahamu
 
Mkuu na heshima zako zote hapa jf unafanya huo uchafu wa kula marinda kweli???
Kwa nn usimpeleke polis huyo mwizi wako kuliko kumla kiboga??

Daaah sikutegemea comment Kama hii kutoka kwa expert Kama wewe mzee mwenzangu
Hivi heshima zangu zote hapa JF umezijuaje mkuu?
 
Mleta mada aspoelewa nahapa analake Jambo,
 
Anahitaji msaada wa kisaikolojia,
 
Una Akili kubwa Sana mkuu,mleta mada anaiponda pesa huenda ndio ilimfanya aachane namchepuko wake wa awali alidhani wanaume wote nisawa
Na kiuhalisia mwanamke hachepuki na ambae hajampenda. Lazma alimpenda huyo mchepuko kuliko jamaa.

Kikubwa mi namashauri ajaribu kumsifia mwenzi wake, wanaume wengi ni wapenda sifa hasa za kwenye 6Γ—6.
 
Na kiuhalisia mwanamke hachepuki na ambae hajampenda. Lazma alimpenda huyo mchepuko kuliko jamaa.

Kikubwa mi namashauri ajaribu kumsifia mwenzi wake, wanaume wengi ni wapenda sifa hasa za kwenye 6Γ—6.
Ila kweli mkuu,kweli Sana ,tupendane jamani japo kinafiki,Tu ili siku ziende kuepusha majanga yakujinyonga nakuchomana Moto,hivi ulishawahi kufikiria mpenzi wajoyce kiria akiwa hayuko serious naanavyosifiwa halafu imagine akawa hayuko serious najoyce itakuaje
 
Unamfundisha kuwa mnafiki Sasa!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kilichofanya umcheat (japo hakujua) ndicho kinampa wasiwasi asikuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…