Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

Wewe ni mdangajii, mwanaume yeyote Mwenye pesa ana kufunua. Unacho kiangalia ni pesa tu.hayo mengine ni propaganda tU.
 
Nikikuw mkubwa nataka kuwa kama huyo.. Mwambie nimesema hivyo Dada [emoji41]
 
Mpe mtoto aamini kweli unampenda na hupendi mkwanja wake.

Ila deep down hata wewe mwenyewe unajua unapendea mkwanja wake na wala hupendi show zake, hilo liko wazi.
Hmm mtoto bado mapema sana kwani nawai wapi. Mungu pekee ndo anajua jinsi navompenda
 
Kwani wewe ulijuaje kwamba ana sehemu ndogo za Siri?

Kwa maelezo yako, siku huyo jamaa akifulia utamuacha
Katika maisha yke anasema mwenyewe hajawahi kua na uhusiano wa mda mrefu kama huu. Inaonekana walikua wanmkinbia sababu iyo iyo lakin mwenyewe hasemi
 
Mpaka Mnatufanyabna sisi Wakiume tuwe Wambea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…