Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,080
- 2,248
Ha haaaaaTatizo la uandishi mbovu linaongezeka kwa kasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaaaaTatizo la uandishi mbovu linaongezeka kwa kasi.
Apige chini tu, akafanye jeuri akiwa kwao
Hii ipo kwa rafiki yako tu,Mtu umemuowa kwa gharama zako atakushindaje akili?? Rudisha kwao akajifunze adabu 😹😹😹😹Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri yani jamaa akiacha laki, 20 au 30 anaipiga yote na hataki kuulizwa kuhusu matumizi akiulizwa anakua mbogo, ndani ni full kununa anaweza ambiwa mke naomba remote lakini hasilete, wakipishana kauli kidogo anadai wagawane vitu aende kwao Daslam wakati vitu kavikuta na ni mama tu wa nyumbani, kadukua mawasiliano ya mume wake yani huyo mke akinasa mawasiliano ya mchepuko wa mumewe ni full mafumbo. Mfano naona sahizi upo kwenye penzi jipya. Sasa jamaa kagundua juzi kuwa mke wake kamdukua yani jamaa kamind sanaaa yani calls na texs zote ziwe za siri(binafsi) ,za kipuuzi, za wana,ndugu na hata boss mke anaziona. Yani boss akimpgia jamaa kumpa hela mke anajua, akipishana kauli na boss anajua. ukijumlisha na vitabia vingne vya mke wake mwana anabaki kujilaumu tu kwanini alioa, yani aliyoyatarajia kwenye ndoa ni tofauti anayoyakuta mke ni full kuonesha makucha, kuna mda wakigombana dem anachukua kisu na kutishia kumchoma jamaa , anadai akiachana na huyu haji tena kuoa. Kwahyo mliopo kwenye ndoa haya yote wanaume inabidi uyavumilie yani unafanya kazi ngumu unalipa kodi unamlisha, unamvisha akitaka kutembelea kwao unampa nauli mwisho wa siku anakuzarau!!! Namuonea hadi huruma yule mwamba. Wanaume wote mungu awape maisha marefu.
Na si tulishakubaliana wote humu JF tukatae ndoa jamani.?? 🤣🤣🤣🤣Wameambiwa mara nyingi hawasikii🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 tushamshtukia
Yani ameandika bila kupumzika njiani.Tukiachana na tatizo la ndugu yako, Nadhani tungejadili kwanza tatizo la uandishi wako, Umemaliza kidoto cha nne?
Wanawake wa siku hizi ni vichomi. Nashauri serikali ibadili sheria ndoa ziwe za mkataba huenda hawa vidudumtu watakuwa na adabu. Mikataba iwe ya mwaka mmoja. Akikuletea jeuri mwaka huu, mwaka ujao una terminate contract; isiwe shida.Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri yani jamaa akiacha laki, 20 au 30 anaipiga yote na hataki kuulizwa kuhusu matumizi akiulizwa anakua mbogo, ndani ni full kununa anaweza ambiwa mke naomba remote lakini hasilete, wakipishana kauli kidogo anadai wagawane vitu aende kwao Daslam wakati vitu kavikuta na ni mama tu wa nyumbani, kadukua mawasiliano ya mume wake yani huyo mke akinasa mawasiliano ya mchepuko wa mumewe ni full mafumbo. Mfano naona sahizi upo kwenye penzi jipya. Sasa jamaa kagundua juzi kuwa mke wake kamdukua yani jamaa kamind sanaaa yani calls na texs zote ziwe za siri(binafsi) ,za kipuuzi, za wana,ndugu na hata boss mke anaziona. Yani boss akimpgia jamaa kumpa hela mke anajua, akipishana kauli na boss anajua. ukijumlisha na vitabia vingne vya mke wake mwana anabaki kujilaumu tu kwanini alioa, yani aliyoyatarajia kwenye ndoa ni tofauti anayoyakuta mke ni full kuonesha makucha, kuna mda wakigombana dem anachukua kisu na kutishia kumchoma jamaa , anadai akiachana na huyu haji tena kuoa. Kwahyo mliopo kwenye ndoa haya yote wanaume inabidi uyavumilie yani unafanya kazi ngumu unalipa kodi unamlisha, unamvisha akitaka kutembelea kwao unampa nauli mwisho wa siku anakuzarau!!! Namuonea hadi huruma yule mwamba. Wanaume wote mungu awape maisha marefu.
Sasa a naogopa nini kuacha a na Hilo jambazi jike? Itakuja kumuuwa bora wagawane ili yeye wabaki salama.Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri yani jamaa akiacha laki, 20 au 30 anaipiga yote na hataki kuulizwa kuhusu matumizi akiulizwa anakua mbogo, ndani ni full kununa anaweza ambiwa mke naomba remote lakini hasilete, wakipishana kauli kidogo anadai wagawane vitu aende kwao Daslam wakati vitu kavikuta na ni mama tu wa nyumbani, kadukua mawasiliano ya mume wake yani huyo mke akinasa mawasiliano ya mchepuko wa mumewe ni full mafumbo. Mfano naona sahizi upo kwenye penzi jipya. Sasa jamaa kagundua juzi kuwa mke wake kamdukua yani jamaa kamind sanaaa yani calls na texs zote ziwe za siri(binafsi) ,za kipuuzi, za wana,ndugu na hata boss mke anaziona. Yani boss akimpgia jamaa kumpa hela mke anajua, akipishana kauli na boss anajua. ukijumlisha na vitabia vingne vya mke wake mwana anabaki kujilaumu tu kwanini alioa, yani aliyoyatarajia kwenye ndoa ni tofauti anayoyakuta mke ni full kuonesha makucha, kuna mda wakigombana dem anachukua kisu na kutishia kumchoma jamaa , anadai akiachana na huyu haji tena kuoa. Kwahyo mliopo kwenye ndoa haya yote wanaume inabidi uyavumilie yani unafanya kazi ngumu unalipa kodi unamlisha, unamvisha akitaka kutembelea kwao unampa nauli mwisho wa siku anakuzarau!!! Namuonea hadi huruma yule mwamba. Wanaume wote mungu awape maisha marefu.
Sasa hawa walalamishi vichwa ngumu wanatoka wapi?😅Na si tulishakubaliana wote humu JF tukatae ndoa jamani.?? 🤣🤣🤣🤣
Wewe usie machinoo unaona ni sawa kumshauri mwanamke wa rafiki yake na mtoa uzi ambae licha ya huyo mama kutokuwepo JF lakini hata huyo mume hayupo JF. So unataka mtoa uzi achukue ushauri wako kisha akamshauri jamaa yake nae akamshauri mkewe?Acheni umachino..jamaa kaja anaomba ushauri.iwe yeye indirect ama rafiki yake kweli haina shida.
.Kuna marafiki na ndugu walioshibana huwa wapo close San kiasi wanashea changamoto kuombana ushauri..so kama yamemfika shingoni laZima aseme.na ye hajui afanye Nini ndio maana kalileta huku,penye wengi hapakosekani suluhisho.
Nionavyo mie huyo mke hajakomaa kiakili na hajui anachokitaka ma alicho nacho pia.siku alikua ataelewa.
Kwa maelezo nimeona hivo,siwezi kwenda mbali zaidi maana hayupo mwanamke nae akaeleza upande wa pili.