HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

Hii ipo kwa rafiki yako tu,Mtu umemuowa kwa gharama zako atakushindaje akili?? Rudisha kwao akajifunze adabu 😹😹😹😹
 
Wameambiwa mara nyingi hawasikii🀣🀣🀣🀣
Na si tulishakubaliana wote humu JF tukatae ndoa jamani.?? 🀣🀣🀣🀣
 
Wanawake wa siku hizi ni vichomi. Nashauri serikali ibadili sheria ndoa ziwe za mkataba huenda hawa vidudumtu watakuwa na adabu. Mikataba iwe ya mwaka mmoja. Akikuletea jeuri mwaka huu, mwaka ujao una terminate contract; isiwe shida.
 
Sasa a naogopa nini kuacha a na Hilo jambazi jike? Itakuja kumuuwa bora wagawane ili yeye wabaki salama.
 
Wewe usie machinoo unaona ni sawa kumshauri mwanamke wa rafiki yake na mtoa uzi ambae licha ya huyo mama kutokuwepo JF lakini hata huyo mume hayupo JF. So unataka mtoa uzi achukue ushauri wako kisha akamshauri jamaa yake nae akamshauri mkewe?

Na unaona sawa kabisa?
 
Mwambie aachane naye mapema,akipata kazi basi amekwisha
 
Kama utelezi anapewa bila shida yoyote mwambie aendelee nae hayo mambo mengine yanazungumzika
 
Kuna mambo hua hayahitaji hata kushauriwa, ila minaona kama vile usharogwa wewe...😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…