Hivi wanawake huwa mna kasoro gani hata mliokwenda shuleni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi picha tatu zinaelezeza taarifa yote...

main-qimg-1f9161afa16deb0906740f61c36de712

main-qimg-12063db8ba81dfc31dc460108da181d1

main-qimg-e75df86dd6bbb0e53288a58157a9d80d
 
Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
 
Watu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.

Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.

Kama umemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.

Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.

Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.

Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.

Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.
 
Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
Sindo vizuri ama. Kupendwa raha ati. Angekua hakuinelei wivu je[emoji23][emoji23]

Huwa mnaanzaga hivyo2 mwisho wa siku balaa laja. Utasikia kuna project anataka nikamsaidie ndo kimoja. Hata mm nna wivu na mali zangu weweee
 
Watu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.

Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.

Kama unemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.

Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.

Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.

Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.

Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.
Yaaan Obama is soo much obssesed na Michelle
Yaan anampenda mno. Hawezagi kujizuia. Yaan ndo nyota wake wa mchezo. And i love it. Na haachi kumuappreciate. Imagine huku mbwinde ndo mwanamke akuzidi uone hizo inferiority zake
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
 
Yaaan Obama is soo much obssesed na Michelle
Yaan anampenda mno. Hawezagi kujizuia. Yaan ndo nyota wake wa mchezo. And i love it. Na haachi kumuappreciate. Imagine huku mbwinde ndo mwanamke akuzidi uone hizo inferiority zake
Ukilinganisha na Mzee Baba anavyomzodoa Mama Jesca hadharani hapo vipi?

Hivi ile ndiyo style yetu ishakubalika ama vipi?

Baba lazima awe anamzodoa sana Mama hivi kujimwambafy, asipomzodoa anaonekana kalishwa limbwata?

Au vipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani si amerudi kwa nguvu za pengo na mtoto wa msoga?
 
Obama na Michelle walikuwa na beef lao la chini kwa chini na kitendo cha waandazi wa hii shughuli kuwafanya wasikae pamoja na Michelle kuona mumewe yuko kwenye mazungumzo ya muda mrefu na huyo PM kama sikosei ili hali Michelle akiwa hana wa kuongea naye kilifanya emotions to take advantage of Michelle therefore to show her disapproval of that sitting arrangement.

Back
Top Bottom