Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jealousy boss [emoji16][emoji16][emoji16]Jeolosy - the most powerful human emotions
Touch screen hiziJealousy boss [emoji16][emoji16][emoji16]
Ninao wivu kama wa huyo mama
Unanitesa kabisa
Nkiwa single hivi narelax
Acha tuone 2021Utabaki single hadi lin? Jifunze kumpa mtu space
Sindo vizuri ama. Kupendwa raha ati. Angekua hakuinelei wivu je[emoji23][emoji23]Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
Tunafanana. Yaan narelax vibaya mno single. Nikiwa nadate nakua double shift[emoji23][emoji23]Ninao wivu kama wa huyo mama
Unanitesa kabisa
Nkiwa single hivi narelax
Yaaan Obama is soo much obssesed na MichelleWatu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.
Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.
Kama unemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.
Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.
Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.
Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.
Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.
Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
Ukilinganisha na Mzee Baba anavyomzodoa Mama Jesca hadharani hapo vipi?Yaaan Obama is soo much obssesed na Michelle
Yaan anampenda mno. Hawezagi kujizuia. Yaan ndo nyota wake wa mchezo. And i love it. Na haachi kumuappreciate. Imagine huku mbwinde ndo mwanamke akuzidi uone hizo inferiority zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani si amerudi kwa nguvu za pengo na mtoto wa msoga?Ukilinganisha na Mzee Baba anavyomzodoa Mama Jesca hadharani hapo vipi?
Hivi ile ndiyo style yetu ishakubalika ama vipi?
Baba lazima awe anamzodoa sana Mama hivi kujimwambafy, asipomzodoa anaonekana kalishwa limbwata?
Au vipi?
Hizi picha tatu zinaelezeza taarifa yote...
![]()
![]()
![]()