Hivi wanawake huwa mna kasoro gani hata mliokwenda shuleni

Iki pia ni wazo lako lakini haliondoi wazo la Mleta mada . Una wezaje uka prove bila Mashaka yoyote ( beyond reasonable doubt) kuwa upo sahihi na mleta mada hayupo sahihi? Actually huwezi , huu ni mtazamo wako kama ilivyo wa mleta mada.

Nileteeni gwajima, nileteeni gwajimaaa
 
Sio kila mtu anataka kwenda peponi
Ila inakuwaje Mwanaume unachekacheka na Mwanamke mwingine mbelw ya mkeo. Hii dharau na kutojitambua.

Halafu wivu ndiyo mapenzi haingii peponi mtu ambaye hana Wivu na mkewe au mumewe.
 
Hapo ilikuwa S.A kwenye msiba wa mzee Madiba(Nelson Mandera).
 
Hizi ni dalili za mtu aliyependa haswa bila unafiki. Unajikuta tu unafanya mambo ya kuleta furaha tu kwa mwenzio.

You get so crazy in love hadi naeza nikatoka kitambi kupendwa namna hii 🀣🀣🀣
 
Hata mimi hushangaa watu wanaopondeaga wenzao kuwa ati mnahonga wanaume. Mbona sie wanaume pia tunawapaga mavitu tu tena mengi bila hiyana yoyote ila mwanamke akitoa anaonekana wa ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Kimsingi ukipenda lazma unakuwa tayari kutoa chochote kwa ajili ya furaha ya mwenzi wako tu. Haijalishi ni pesa, muda ama zawadi!
 
Ha ha ha ha..
Penye miti hakunaga wajenzi. Bado mtatuliza. Shida sana aisee. Shidaaaa. Ila love is beautiful mkuu. Sana sana. Hasa mukiweza kuhurumiana.
So true, upendo ni kitu kizuri kwa kweli. Love is a beautiful thing indeed! Shida huwa kupata mtu ambaye ata reciprocate huo upendo ndio balaa.
 
Paragraph ya mwisho...anaogopa kubutuliwa
 
Hizi ni dalili za mtu aliyependa haswa bila unafiki. Unajikuta tu unafanya mambo ya kuleta furaha tu kwa mwenzio.

You get so crazy in love hadi naeza nikatoka kitambi kupendwa namna hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] yaaani mwenzako akifurahi unajisikia raha zote za dunia. Utataka tu akukumbatie uyasikilizie mapigo yake ya moyo kwa sekunde kadhaa bila kusema neno.

Tatizo bwana kuna watu hawajui kuappreciate wala kujali chochoteeee. Hapo ndo unajiuliza what is happening. Drammars za ajabu ajabu daily. Mtu anatakiwa ajue kwamba wako wengine pia wanatamani kuwa kwenye hiyo nafasi ila ndo hivyo ameipata yeye na anathaminikaa. Usifikiri hakuna wanaomtamani mpenz wako. Appreciate aisee. Ndo maana anakufanyia yote yaliyo ndani ya uwezo wake na si wengine. Wivu unaanzaje kukosekana hapo jamani? Unakosekanaje?
 
[emoji23][emoji23] mimi ubinafsi sipendi. Na nimetoa zaidi ya nilivyopokea. Na sijesabu. Hiyo ndo furaha yangu. Yaan hakiniumi hataaaa. Sihesabiagi hizo gharama hata kidogo. Muda ndo una thamani zaid ninaotumia kwako. Mapenz is a give and receive. Mtu akiona nahonga its okey. As long as natoa kilicho ndani ya uwezo wangu basi nafsi yangu imeridhika.
Siupendi umasikini kwasababu huleta mifarakano. Kuna vitu bila hela havichochei mapenzi. Upendo upo ila mapenz hakuna.
Na huwa hatujutii wala tukiachana. Tunakua tumeacha kumbukumbu ambayo iko siku tu utatukumbuka. Tunaambiwa tuiache dunia bora zaidi ya tulivyoikuta
 
So true, upendo ni kitu kizuri kwa kweli. Love is a beautiful thing indeed! Shida huwa kupata mtu ambaye ata reciprocate huo upendo ndio balaa.
Yes. Wengi ni utoto na hawajui wanataka nini. Kuna wale wanaharibu kiasi hata unakuta wanataka kurudi lakini wanarudije na wameshaharibh zaidi ya zaidi. Appreciate aisee. Hiyo itakupa nafasi hata next relation utayoenda hutakua na majuto mengi ya matukio uliyompiga ex wako
 
Hapo wivu ni lazima no way out! Drama zinaua mapenzi haswa na hazitakiwi hasa kwa watu wazima kama sisi,,, Ubaya wengine hujisaahaugi sana yani kuna point ikifika mtu anajiachia anaona kama anafanyiwa hisani 🀣🀣🀣 kumbe ni sababu ya upendo tu.

Ndio shida ilipogi, ila siku mtu akichoka meza zikipinduka huwa ni kilio tu 😁😁😁! Mi nipendwe namna hii af nilete utoto kweli...hebu nipende kwanza uone mambo yangu 😍😍😍
 
Una madini adimu sana kichwani mwanamke wewe, ndoa yako itakuwa imara sana
 
Huwa unapokeaga ma EX kwani? I find it so odd...Mtu kama alikuwa hakupendi mwanzoni au hana shukurani hatakaa awe nayo zaidi na zaidi utakuwa unafiki tu.
 
Exactly, Upendo hausebiki! Ukiona mmefikia kuhesabiana jua you are one step to break up point!
.Kikubwa hauna ubinafsi na huo ndio ugonjwa wangu kwa mwanamke yeyote ntakaetaka kuwa nae penzini. Hio character ni top kwenye checklist akiwa mbinafsi na omba omba basi kanikosa.🀣🀣🀣
 
Yes. Wengi hujisahau na kuona kama wanafanyiwa hisani. Na ndipo huruma kwa mwenzake huindoka. Yaan anajikuta kama vile Anakufanyia favour sasa kuwa na wewe. Mapenzi si huruma wala hisani. Hutakiwi penda mtu kwasaabbu unamhurumia

Ha ha ha kipengele.cha kukupenda sasa[emoji23][emoji23] mtani hapa utanikosa. Lengo niishie Same nini? Nani anaenda kupanda ile milima mtani[emoji23][emoji23]
 
Utasogea mpaka Usangi usijali 😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…