mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Yeah ni kweliLove is bae. Basi tuu sisi wanadamu ndo huharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweliLove is bae. Basi tuu sisi wanadamu ndo huharibu
Iki pia ni wazo lako lakini haliondoi wazo la Mleta mada . Una wezaje uka prove bila Mashaka yoyote ( beyond reasonable doubt) kuwa upo sahihi na mleta mada hayupo sahihi? Actually huwezi , huu ni mtazamo wako kama ilivyo wa mleta mada.Kila mtu katika tukio hilo anaweza kutafsiri kulingana na akili yake.
Mimi nasema hapo Michelle hakuwa na nia ya kuonyesha wivu, kumbukeni kwamba hapo ilikuwa ni msibani na katika hali ya kawaida msibani n8 mahali pa maombolezo sio mahali pa kuongea politics na vicheko na tabasamu nk, cha muhimu zaidi ukizingatia ni mtu gani aliyefariki, Michelle ni mwanamke anayejitambua na muelewa, anamuelewa vyema Obama, kuingia katikati yao Michelle alitaka kuwakumbusha kwamba wapo msibani and there is no room for gossips.
Michelle aliingia hapo kati kuwakumbusha Obama na huyo Madam (kiongozi) kwamba wapo msibani, hapo hakuna cha wivu, kwani kama huyo madam angekuwa na "nia yake" kwa obama kamwe asingetumia njia hiyo ya hadharani kiasi hicho bali angaweza kubuni ziara ya kiserikali na angemfuata Obama hukohuko states.
Sina. Wivu mimiBushmamy
Ok ,kumaanisha nikweli mnakasoro kama Michelle
Ila inakuwaje Mwanaume unachekacheka na Mwanamke mwingine mbelw ya mkeo. Hii dharau na kutojitambua.
Halafu wivu ndiyo mapenzi haingii peponi mtu ambaye hana Wivu na mkewe au mumewe.
Hizi ni dalili za mtu aliyependa haswa bila unafiki. Unajikuta tu unafanya mambo ya kuleta furaha tu kwa mwenzio.Extro... mapenzi matamu asikuambie mtu mukiwa poa. Ni matamu balaaa.... na wivu kuwepo hailwepeki. Me nikatae kote niwe na wewe tu halaf nione mtu anakuja kuja wakati me nakua nakuweka navyotaka uwe? Maana beibe lazima anunuliwe perfumes nzuri, nguo za kazini, casual etc. Kwangu ni mtu wa thaman sana. Yaan mpenzi wangu ni 1st born wangu. Mapenz ypte atapataaaa.... hivi kwann nisipate wivu. Halaf nikute unamuangalia kwa kumtamani[emoji23][emoji23] naenda kukaa katikati kama michelle.
Hata mimi hushangaa watu wanaopondeaga wenzao kuwa ati mnahonga wanaume. Mbona sie wanaume pia tunawapaga mavitu tu tena mengi bila hiyana yoyote ila mwanamke akitoa anaonekana wa ajabu 😂😂😂...[emoji23][emoji23][emoji23] that feeling is the best aisee. Nakuaga na heka hekaaaa. Nikikumbuka nampenda fulan nampigia hapo hapo. Kwanza dk chache unakua unahema kwanza huingei usikilizie mapigo ya pumzi zake kwanza[emoji23]
Halaf unaanza kuwaza kesho sijui nimpelekee zawadi gani jamani. Nawashangaaga sana wengine wanaotupondaga kuwapelekea wapenz wetu zawadi eti tunahonga wanaume. Mapenz matamu nyie. Wivu ndo rahaa ili ubembelezweee jamani. Kuna tuugomvi tudogo tu ili umsikie babby akisema nisamehe mamaa jaman haitatokea tena.
Nna wivuuuuuuuuuuuuu..
Ila sasa hivi nimerelax sana hizi hekaheka achaga kbs[emoji91][emoji91][emoji91]
So true, upendo ni kitu kizuri kwa kweli. Love is a beautiful thing indeed! Shida huwa kupata mtu ambaye ata reciprocate huo upendo ndio balaa.Ha ha ha ha..
Penye miti hakunaga wajenzi. Bado mtatuliza. Shida sana aisee. Shidaaaa. Ila love is beautiful mkuu. Sana sana. Hasa mukiweza kuhurumiana.
Paragraph ya mwisho...anaogopa kubutuliwaWatu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.
Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.
Kama unemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.
Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.
Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.
Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.
Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.
[emoji23][emoji23] yaaani mwenzako akifurahi unajisikia raha zote za dunia. Utataka tu akukumbatie uyasikilizie mapigo yake ya moyo kwa sekunde kadhaa bila kusema neno.Hizi ni dalili za mtu aliyependa haswa bila unafiki. Unajikuta tu unafanya mambo ya kuleta furaha tu kwa mwenzio.
You get so crazy in love hadi naeza nikatoka kitambi kupendwa namna hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] mimi ubinafsi sipendi. Na nimetoa zaidi ya nilivyopokea. Na sijesabu. Hiyo ndo furaha yangu. Yaan hakiniumi hataaaa. Sihesabiagi hizo gharama hata kidogo. Muda ndo una thamani zaid ninaotumia kwako. Mapenz is a give and receive. Mtu akiona nahonga its okey. As long as natoa kilicho ndani ya uwezo wangu basi nafsi yangu imeridhika.Hata mimi hushangaa watu wanaopondeaga wenzao kuwa ati mnahonga wanaume. Mbona sie wanaume pia tunawapaga mavitu tu tena mengi bila hiyana yoyote ila mwanamke akitoa anaonekana wa ajabu [emoji23][emoji23][emoji23]...
Kimsingi ukipenda lazma unakuwa tayari kutoa chochote kwa ajili ya furaha ya mwenzi wako tu. Haijalishi ni pesa, muda ama zawadi!
Yes. Wengi ni utoto na hawajui wanataka nini. Kuna wale wanaharibu kiasi hata unakuta wanataka kurudi lakini wanarudije na wameshaharibh zaidi ya zaidi. Appreciate aisee. Hiyo itakupa nafasi hata next relation utayoenda hutakua na majuto mengi ya matukio uliyompiga ex wakoSo true, upendo ni kitu kizuri kwa kweli. Love is a beautiful thing indeed! Shida huwa kupata mtu ambaye ata reciprocate huo upendo ndio balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii. Michelle ndo hapendi ujinga kias hiki? Ndo ana ubondia hv?Paragraph ya mwisho...anaogopa kubutuliwa
Hapo wivu ni lazima no way out! Drama zinaua mapenzi haswa na hazitakiwi hasa kwa watu wazima kama sisi,,, Ubaya wengine hujisaahaugi sana yani kuna point ikifika mtu anajiachia anaona kama anafanyiwa hisani 🤣🤣🤣 kumbe ni sababu ya upendo tu.[emoji23][emoji23] yaaani mwenzako akifurahi unajisikia raha zote za dunia. Utataka tu akukumbatie uyasikilizie mapigo yake ya moyo kwa sekunde kadhaa bila kusema neno.
Tatizo bwana kuna watu hawajui kuappreciate wala kujali chochoteeee. Hapo ndo unajiuliza what is happening. Drammars za ajabu ajabu daily. Mtu anatakiwa ajue kwamba wako wengine pia wanatamani kuwa kwenye hiyo nafasi ila ndo hivyo ameipata yeye na anathaminikaa. Usifikiri hakuna wanaomtamani mpenz wako. Appreciate aisee. Ndo maana anakufanyia yote yaliyo ndani ya uwezo wake na si wengine. Wivu unaanzaje kukosekana hapo jamani? Unakosekanaje?
Poa.Sio kila mtu anataka kwenda peponi
Una madini adimu sana kichwani mwanamke wewe, ndoa yako itakuwa imara sana[emoji23][emoji23] mimi ubinafsi sipendi. Na nimetoa zaidi ya nilivyopokea. Na sijesabu. Hiyo ndo furaha yangu. Yaan hakiniumi hataaaa. Sihesabiagi hizo gharama hata kidogo. Muda ndo una thamani zaid ninaotumia kwako. Mapenz is a give and receive. Mtu akiona nahonga its okey. As long as natoa kilicho ndani ya uwezo wangu basi nafsi yangu imeridhika.
Siupendi umasikini kwasababu huleta mifarakano. Kuna vitu bila hela havichochei mapenzi. Upendo upo ila mapenz hakuna.
Na huwa hatujutii wala tukiachana. Tunakua tumeacha kumbukumbu ambayo iko siku tu utatukumbuka. Tunaambiwa tuiache dunia bora zaidi ya tulivyoikuta
ma EX kwani? I find it so odd...Mtu kama alikuwa hakupendi mwanzoni au hana shukurani hatakaa awe nayo zaidi na zaidi utakuwa unafiki tu.Yes. Wengi ni utoto na hawajui wanataka nini. Kuna wale wanaharibu kiasi hata unakuta wanataka kurudi lakini wanarudije na wameshaharibh zaidi ya zaidi. Appreciate aisee. Hiyo itakupa nafasi hata next relation utayoenda hutakua na majuto mengi ya matukio uliyompiga ex wako
[emoji23][emoji23] mimi ubinafsi sipendi. Na nimetoa zaidi ya nilivyopokea. Na sijesabu. Hiyo ndo furaha yangu. Yaan hakiniumi hataaaa. Sihesabiagi hizo gharama hata kidogo. Muda ndo una thamani zaid ninaotumia kwako. Mapenz is a give and receive. Mtu akiona nahonga its okey. As long as natoa kilicho ndani ya uwezo wangu basi nafsi yangu imeridhika.
Siupendi umasikini kwasababu huleta mifarakano. Kuna vitu bila hela havichochei mapenzi. Upendo upo ila mapenz hakuna.
Na huwa hatujutii wala tukiachana. Tunakua tumeacha kumbukumbu ambayo iko siku tu utatukumbuka. Tunaambiwa tuiache dunia bora zaidi ya tulivyoikuta
Yes. Wengi hujisahau na kuona kama wanafanyiwa hisani. Na ndipo huruma kwa mwenzake huindoka. Yaan anajikuta kama vile Anakufanyia favour sasa kuwa na wewe. Mapenzi si huruma wala hisani. Hutakiwi penda mtu kwasaabbu unamhurumiaHapo wivu ni lazima no way out! Drama zinaua mapenzi haswa na hazitakiwi hasa kwa watu wazima kama sisi,,, Ubaya wengine hujisaahaugi sana yani kuna point ikifika mtu anajiachia anaona kama anafanyiwa hisani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ni sababu ya upendo tu.
Ndio shida ilipogi, ila siku mtu akichoka meza zikipinduka huwa ni kilio tu [emoji16][emoji16][emoji16]! Mi nipendwe namna hii af nilete utoto kweli...hebu nipende kwanza uone mambo yangu [emoji7][emoji7][emoji7]
Yes. Wengi hujisahau na kuona kama wanafanyiwa hisani. Na ndipo huruma kwa mwenzake huindoka. Yaan anajikuta kama vile Anakufanyia favour sasa kuwa na wewe. Mapenzi si huruma wala hisani. Hutakiwi penda mtu kwasaabbu unamhurumia
Ha ha ha kipengele.cha kukupenda sasa[emoji23][emoji23] mtani hapa utanikosa. Lengo niishie Same nini? Nani anaenda kupanda ile milima mtani[emoji23][emoji23]