Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Harafu uwe una angalia na mwanamke wa kutongoza ,
Wanaume huwa tuna angalia tu tunajua kuwa hapa nikitupia ndoano si wezi kosa hata dagaa[emoji1]
 
Ona kenge hii, tafuta fedha, fedha iongee sio wewe.
Kwenye orodha ya watu matajiri Tanzania upo wangapi?
Ukishapata hela ya kubadilisha mboga na kujaza mafuta unaona umetoboa maisha. Ulichoandika sijapendezwa hata kama unahela kuwa na heshima na watu.
Unapomuona mlinzi, mshona viatu, fundi simu au dada wa kazi hata konda ni watu muhimu sana.
Unahela na una kiatu kimeharibika, utaweka pesa zako zikishonee kiatu?
Una hela lakini badi utaugua au kufa huoni wewe ni mjinga sana wakati unapesa za kununua uhai ili uendelee kuishi.
 
We unazan huyo anaela wenye ela wanaelewa huu uzi umewagusa Sana maana some time mtu anakuwa na fedha. Yuko na gar yake tuh anamuona mdada anaamua kujisogeza demu anagoma kila kitu anachomwambia mpaka anawaza nilikuwa naamini nkipata fedha kila kitu kitaenda fresh ,mi nakuambia mwanamke kiumbe cha ajabu anaweza kataa kuku akaenda Kula dagaa
 
Umemoenda sana tatizo. Mpaka unakuwa ukimwona akili yako haifanyi kazi kwa mantiki.

Get busy man, atakuheshimu...ushirikiano hauna haja kama ha add kitu katika kazi au mizunguko yako.

Mi mwanamke akinikataa, nakuwa busy tu, naongeza exellence ktk mambo yangu, na sitaki hata stori zaidi ya salamu ya kikakamavu,like HABARI? Huku nikiwa ktk motion. Dunia pana mkuu,usijibane bane.

K
 
Si bure kuna jambo limekusibu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…