Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau wakati ulisema mwenyewe3some tena 🤣🤣🤣🤣
Tuondoleeni mambo yenu ya kishetanishetani sie tunamaliza uzee wetu na Yesu,msimletee Mzee wangu majaribu mkamkumbusha bureee😡😡😡Unajipigia debe 🤣🤣🤣 mzee Hana baya ujue usituponde sisi mzee anataka 3some
Yeah kutongoza kiasili ni udhalilishaji wa kijinsia sema kutokana na mila na desturi za kiafrika hakuna namna ya kupambana na aibu za kike zaidi ya kuwatongoza wadada. Inavyotakiwa munakuwa na urafiki mpaka muna fall in love. Lkn huo muda wa kupoteza waafrika hatuna njaa kaliBora Africa, sehemu zingine ni sexual harasement na unaenda jela
Yeah hata mimi sihitaji rafiki wa kike, madem sawa tena lazima nipite nap vyenginevyo urafiki unaisha faster[emoji23]wanaume wenyewe hatutaki marafiki wa kike
Una dhambi wewe!unamtamanisha mwenzio 🤣🤣Umesahau wakati ulisema mwenyewe
Tumemaliza darling😍😍Wapuuzie watoto watukutu hao watafanya safari Yako ya mbinguni iwe ngumu🤣🤣🤣we kaa na na mimi Mzee mwenzio nikupe matured love
Nakuamkia pia nakupa utakacho😂Sasa shikamoo unataka kuninyima nini . Haya basi marahaba haujambo?
Mwalimu wa kiswahiliWanawake wagomvi typing………..
Walimu wa kiswahili typing…………..
Tafuta pesa typing…………..
Achana naye usimbembeleze typing……….
Alisema mwenyewe huyu 😅😅😅😅😅Tuondoleeni mambo yenu ya kishetanishetani sie tunamaliza uzee wetu na Yesu,msimletee Mzee wangu majaribu mkamkumbusha bureee😡😡😡
🤣🤣UmemuwezaSasa shikamoo unataka kuninyima nini . Haya basi marahaba haujambo?
Msimkumbushe jamani🤣🤣🤣hachelewi kubadili gia anganiAlisema mwenyewe huyu 😅😅😅😅😅
Weekend hii ametekeleza fantasy yake huoni anavyochekeleaMsimkumbushe jamani🤣🤣🤣hachelewi kubadili gia angani
wanafanyaga ivo kama bado chuchu saa 6 anakula kwa mamaake.Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.
Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin unakuta mwanamke Hana Amani kabisa anaishi kama kunakaugomvi flani .
Mimi siamini kwamba eti kumtaa mtu vibaya kunaonyesha msisitizo ya kwamba hutaki,ziko njia nyingi za kumuonyesha mwanaume msisitizo kwamba humuitaji lakin siyo majibu mabaya.
Na hatakama unamzarau mwanaume kiasi gani au humpendi kiasi gani au unaona Hana adhi yakuwa na wewe. Umetongozwa hutaki usitumie kama njia ya kumuonesha jinsi gani unavyomzarau kataa Kwa hekima, mwanaume ni mtu Haya ni maisha huwezijua kesho. kunawatu Wana visasi unaezamchukulia simple ukatoka na mauti.
Labda niwaambie wanawake kumkataa mwanaume bila kugombana naye na ukaendelea kushirikiana naye, utaonyesha upekee wa ali ya juu, utaonyesha ni mwanamke jasiri usiyeyumbishwa. Mwanaume anaeshimu Sana maamuzi unayochukua unapotongozwa, mambo ya kugombana na mtu wakati ni Jambo linaloepukika ni upumbavu.
Wanawake wekeni akilini kuwa kumkataa mtu Haina maana ya kwamba ni mbaya au siyo handsome
Hapana, ni kwamba hamwendani Tu na ndo maana wewe ukimkataa utakuta kesho Yuko na mwingine saa nyingine mzuri kuliko wewe, kinachomaanisha kwamba mlikuwa hamwendani.
wanafanyaga ivo kama bado chuchu saa 6 anakula kwa mamaake.
umri ukishazama wanaendaga wenyew kwa mwamposa kuomba japo watongozwe tu maana wkt uo wamezalishwa na baba mtoto keshachimba zake,, nyambaff sn awa