Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Unajipigia debe 🤣🤣🤣 mzee Hana baya ujue usituponde sisi mzee anataka 3some
Tuondoleeni mambo yenu ya kishetanishetani sie tunamaliza uzee wetu na Yesu,msimletee Mzee wangu majaribu mkamkumbusha bureee😡😡😡
 
Bora Africa, sehemu zingine ni sexual harasement na unaenda jela
Yeah kutongoza kiasili ni udhalilishaji wa kijinsia sema kutokana na mila na desturi za kiafrika hakuna namna ya kupambana na aibu za kike zaidi ya kuwatongoza wadada. Inavyotakiwa munakuwa na urafiki mpaka muna fall in love. Lkn huo muda wa kupoteza waafrika hatuna njaa kali
 
Fantasy tu haina uhalisia wowote, hizo nguvu naenda kumalizia na Joannah wangu🤣
Wapuuzie watoto watukutu hao watafanya safari Yako ya mbinguni iwe ngumu🤣🤣🤣we kaa na na mimi Mzee mwenzio nikupe matured love
 
Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.

Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin unakuta mwanamke Hana Amani kabisa anaishi kama kunakaugomvi flani .

Mimi siamini kwamba eti kumtaa mtu vibaya kunaonyesha msisitizo ya kwamba hutaki,ziko njia nyingi za kumuonyesha mwanaume msisitizo kwamba humuitaji lakin siyo majibu mabaya.

Na hatakama unamzarau mwanaume kiasi gani au humpendi kiasi gani au unaona Hana adhi yakuwa na wewe. Umetongozwa hutaki usitumie kama njia ya kumuonesha jinsi gani unavyomzarau kataa Kwa hekima, mwanaume ni mtu Haya ni maisha huwezijua kesho. kunawatu Wana visasi unaezamchukulia simple ukatoka na mauti.

Labda niwaambie wanawake kumkataa mwanaume bila kugombana naye na ukaendelea kushirikiana naye, utaonyesha upekee wa ali ya juu, utaonyesha ni mwanamke jasiri usiyeyumbishwa. Mwanaume anaeshimu Sana maamuzi unayochukua unapotongozwa, mambo ya kugombana na mtu wakati ni Jambo linaloepukika ni upumbavu.

Wanawake wekeni akilini kuwa kumkataa mtu Haina maana ya kwamba ni mbaya au siyo handsome
Hapana, ni kwamba hamwendani Tu na ndo maana wewe ukimkataa utakuta kesho Yuko na mwingine saa nyingine mzuri kuliko wewe, kinachomaanisha kwamba mlikuwa hamwendani.
wanafanyaga ivo kama bado chuchu saa 6 anakula kwa mamaake.

umri ukishazama wanaendaga wenyew kwa mwamposa kuomba japo watongozwe tu maana wkt uo wamezalishwa na baba mtoto keshachimba zake,, nyambaff sn awa
 
wanafanyaga ivo kama bado chuchu saa 6 anakula kwa mamaake.

umri ukishazama wanaendaga wenyew kwa mwamposa kuomba japo watongozwe tu maana wkt uo wamezalishwa na baba mtoto keshachimba zake,, nyambaff sn awa
 
Back
Top Bottom