Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!