Hivi Wanawake Mna Nini?!

Ukipata wa hivyo bahati sana. Napo ombea asije badilishwa mbelen kwa kuona unamjali sana mwenzio akadhan kakuweka kiganjan
Bahati nzuri bado wako wenye mapenzi ya kweli japo wachache. Na huyu wa hivi hata ukimfanyia kitu kikubwa maishani mwake unamfanyia kwa moyo mkunjufu kabisa tena kwa furaha kubwa.
 
Ni kweli kabisa aisee. Mapenzi siku hizi yamebadilika sana. Ukisikia wazazi wetu wakielezea mapenzi enzi zao na siku hizi kuna tofauti kubwa sana.

Ukipata wa hivyo bahati sana. Napo ombea asije badilishwa mbelen kwa kuona unamjali sana mwenzio akadhan kakuweka kiganjan
 
Hahahaa aiseee ndo maana ukachomeshwa mahindi,mdada wa watu akifikiria show ya kibabe anaghairi safar mpaka akachelewa miadi
Good things come to those who wait...
 
nenda roundabout au maeneo ya pale trafic wanapopaki gar zao upige kelele wakupe msaada
 
Ndio maana huwowi kaka.
Mwanamke akisema I will be ready in 5 mins haina tafauti na wewe unaposema I will be home in 15 mins ukiwa bar na washkaji.
Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
 
Hahaha
Hata sie hatuelewi tukoje, vumilia hebu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…