Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ukipata wa hivyo bahati sana. Napo ombea asije badilishwa mbelen kwa kuona unamjali sana mwenzio akadhan kakuweka kiganjan
Bahati nzuri bado wako wenye mapenzi ya kweli japo wachache. Na huyu wa hivi hata ukimfanyia kitu kikubwa maishani mwake unamfanyia kwa moyo mkunjufu kabisa tena kwa furaha kubwa.