Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe hujui ulichokiandika ndio sembuse mimi?Sasa hii inahusiana nini na nilichoandika mimi?
Wakti ujao kwanini usisome kwa kutulia ukajibu hasa kile kimeandikwa?
Kwanini usichukue dakika moja tu kurejea mtoa mada kasema nini? Kisha tazama nimejibu nini?Wewe hujui ulichokiandika ndio sembuse mimi?
Umeingiza uislamu unasema hivi na mimi nimekupa elimu uislamu unasema hivi pia na siyo one side of coin.
Kwanza usinipotezee muda wangu feminist, mnacomment vitu bila kushirikisha ubongo.
Huko nje akagawe eti kuhonga kwa mke eti alete mshahara wake hapa, ha ha ha hivi inawezekana kweli?Nyie si huwa mnajifanya kina tupatupa kwa kuwapa hela michepuko kama hamna akili nzuri?!
Mnamaliza rasilimali za familia kwenda kuibiwa nje lakini Kwa mke halali mnalalamika ?!
Tena nasema waendelee kuwashikilia hapohapo [emoji108]
Na hapo ndipo vichwa vya wanaume huharibika because of too much demand toka ndani kwa mke na nje kwa michepuko.
Hapo ndipo mvurugiko wa akili huanza kutokea na Mwanaume kuonekana kuchooka na kuanza kuota mvi za kabla ya umri!
Huko nje akagawe eti kuhonga kwa mke eti alete mshahara wake hapa, ha ha ha hivi inawezekana kweli?
[emoji38][emoji38][emoji38]Haiwezekani hata kidogo!
[emoji4][emoji4]
Thibitisha kuwa wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume kwa sababu pesa zao wanazihifadhi huku za mwanaume zikitumika!Wanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu.
Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia.
Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa zao wanazihifadhi wakati za mwanaume zinatumika kwenye familia.